The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kwa wanaofuatilia vimbwanga kuelekea uchakachuaji ujao, watakubaliana nami kuwa pesa ndefu inatumiwa tena watoto wa makapuku ambao hawajafanya kazi muda mrefu.
Je wanaipata wapi au ni bwimbwi kama siyo ya kutupiga kwa wale waliowahi kushika nyadhifa kama yule wa Arusha. Je wananunua nini na watazirejeshaje?
Je, wamepewa na huyu mama anayewashambikia kwa kupenda kumtukuza, kumsifu na kumwabudia kinafiki?
Je, hawa wanaweza kutenda haki na kuliendeleza taifa wakati wako pale kujihudumia wakila bila kunawa kwa mikono na miguu huku wakikunyea mle walamo kama mainzi?"
Nafikiri na kujiwazia kimya kimya.