Hawa wahitimu wa Class 2026 IAA tuwaambie yanayoendelea mtaani au tuwaache, anadai digrii siyo mchezo hapokei mshahara chini ya milioni 2.5

Hawa wahitimu wa Class 2026 IAA tuwaambie yanayoendelea mtaani au tuwaache, anadai digrii siyo mchezo hapokei mshahara chini ya milioni 2.5

Hawa wahitimu wa Class 2026 IAA tuwaambie yanayoendelea mtaani au tuwaache, anadai digrii suyo mchezo hapkei mshahara chini ya milioni 2.5

Waambieni tu kuwa wapo wenzao wenye ufaulu zaidi yao na wamesota mtaani miaka zaidi ya 7 na wanaambiwa ajira zinatolewa kwa wenye angalao miaka kadhaa baada ya kuhitimu.Ili siku wakikutana na uhalisia wasianze kutafuta vitanzi vilipo!
 
Back
Top Bottom