Hawa wahuni na vibaka wanaobaka na kuwaibia ovyo akina Mama na Mabinti kwanini wanachekewa hivi?

Hawa wahuni na vibaka wanaobaka na kuwaibia ovyo akina Mama na Mabinti kwanini wanachekewa hivi?

Ushauri wangu baadhi ya sehemu za starehe zinachangia ,malezi duni ya watoto wetu
 
Mimi nimeishi moringe pale kota za ccm ambazo walikuwa wanaishi maofisa wa jwtz kuna lodge maarufu inaitwa serengeti sasa kule nyuma ambako ni skwata kunaitwa kwa yamba wauni kibao alafu unasema nini.
Sijazungumzia nyuma ya Serengeti ambako kuna baa zinakesha na hao askari, na huko skwata mlishindwa nini kuchukua hatua za kuwataka polisi waingie mitaani badala ya kuja JF.
 
Ujue haya mambo yanachagizwa sana na kujuana juana ,nakumbuka kipindi fulani niko mkoa fulani kuna jamaa akawa analawiti sana watoto ,vijana hata wazee kwa kweli nilitaka kulivalia njuga bwana bwana unakuta mtu mwanae au ndugu kalawitiwa eti wanamalizana kuepusha lawama mtaani akifungwa daah ,



Sasa ndio hilo la wezi na vibaka wengi wanakua ni watoto wa hapo hapo wanawaonea haya ,utasikia si Kidongodi huyu mtoto wa fulani atapigwa makofi matatu ataachiwa ,lakini kibaka huyo huyo akienda mitaa ya watu hajulikani basi ndugu zake watamta mochwari ,

FUNZO,. watanzia tuache kujuana kwenye matukio ya kiuhalifu mtu akizingua ni kuzinguliwa tu hapo hapo
 
Back
Top Bottom