Ujue haya mambo yanachagizwa sana na kujuana juana ,nakumbuka kipindi fulani niko mkoa fulani kuna jamaa akawa analawiti sana watoto ,vijana hata wazee kwa kweli nilitaka kulivalia njuga bwana bwana unakuta mtu mwanae au ndugu kalawitiwa eti wanamalizana kuepusha lawama mtaani akifungwa daah ,
Sasa ndio hilo la wezi na vibaka wengi wanakua ni watoto wa hapo hapo wanawaonea haya ,utasikia si Kidongodi huyu mtoto wa fulani atapigwa makofi matatu ataachiwa ,lakini kibaka huyo huyo akienda mitaa ya watu hajulikani basi ndugu zake watamta mochwari ,
FUNZO,. watanzia tuache kujuana kwenye matukio ya kiuhalifu mtu akizingua ni kuzinguliwa tu hapo hapo