Hawa waimbaji wa injili mbona wana mapozi tata sana?

jerry joshy

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
402
Reaction score
504
Mungu naomba unisamehe ilaa hawa wasanii wawili wa gospel kwakweli kila nikiwangaliaa huwaa siwamalizi na mapozi yao. Yani lips wanapaka lipshine na wanavyozipandishaa hizo nyusi kwenye picha zao yaani wanarembuaa mpaka wanapitiliza.

Wasanii wenyewe ni Gosbert wa 'ipo siku' na Paul Clement wa 'amenifanyia amani'. Yaani mapoz yao siyaelewi kwakweli ila nyimbo zao zinanibariki sana.
 
Huyo Gozbert naufahamu wimbo wake mmoja tuu, ila naamini kama huyo Paul naye anafanana naye basi hao jamaa ni material ya bongo fleva kabisa. Wanatembea kwenye level za Jux hivi sema wamesoma soko la muziki wa injili litawalipa zaidi.
 
Mungu naomba unisamehe ilaa hawa wasanii wawili wa gospel kwakweli kila nikiwangaliaa huwaa siwamalizi na mapozi yao. Yani lips wanapaka lipshine na wanavyozipandishaa hizo nyusi kwenye picha zao yaani wanarembuaa mpaka wanapitiliza.

Wasanii wenyewe ni Gosbert wa 'ipo siku' na Paul Clement wa 'amenifanyia amani'. Yaani mapoz yao siyaelewi kwakweli ila nyimbo zao zinanibariki sana.
Maekotite please
 
mm gospel zang zlizopo kwa flash yang ni zile za wasabato hasa hawa wa rwanda ambassadors, christina shusho, neema mwaipopo, martha mwaipaja, kidogo na bahati bukuku... zaid ya hapo gospel zingine ni kutoka mambele huko mfano mwanadada ana ADA wimbo unaitwa I TESTIFY... kama kuna wengine unawajua wa kufanana na hao nipe majina nianze kuwafwatilia...

usinitajie rose muhando plz
 
Hahaha...why not Rose Muhando?

Mimi katika nyimbo za Gospel zinazonibariki ni

Kwanza kwaya karibu zote za zamani. Hasahasa miaka ya 90-99 kama za Arusha mjini na Shangilieni. daaah

Pili, nyimbo za baadhi ya waimbaji wachache sana kama Christina Shusho, Abihudi Misholi, Ephraim Mwansasu na Bahati bukuku.

Lastly, ni nyimbo zote za kuabudu.
 
mm gospel zang zlizopo kwa flash yang ni zile za wasabato hasa hawa wa rwanda ambassadors, christina shusho, neema mwaipopo, martha mwaipaja, kidogo na bahati bukuku... zaid ya hapo gospel zingine ni kutoka mambele huko mfano mwanadada ana ADA wimbo unaitwa I TESTIFY... kama kuna wengine unawajua wa kufanana na hao nipe majina nianze kuwafwatilia...

usinitajie rose muhando plz
Tasha Cobbs,
 
bila kapicha tutaaminije?

1479495236799.png
1479495441456.png
 
Attachments

  • 1479495255570.png
    1479495255570.png
    207.8 KB · Views: 152
Back
Top Bottom