Hawa waimbaji wa injili mbona wana mapozi tata sana?

Hawa waimbaji wa injili mbona wana mapozi tata sana?

Wivu wa kike huu.

Paul Clement ni producer wa mda mrefu hata kabla Jux hajajua kama kuna mziki, 2007 ndiye aliyemuandali John Lissu albam ya Yu hai Jehova!

Pia ni muandaaji wa nyimbo za Christina Shushu ,Kilahilo etc!

Mungu wa Israel anaangilia Moyo na si kama wewe mtu wa dini ufanyavyo!

Pole sana,Ukiokoka utajua mambo ya Uungu!

KAMA MUNGU ANAANGALIA MIOYO BASI VAENI VIMINI MKIAMINI MNAMTUMIKIA MUNGU KAMA MFANYAVYO SASA MAADILI YAKO WAPI HAPO UOKOVU NDIYO UKO HIVYO???
 
Lips shedo,nyusi katinda na lamba lipsi huyu jamaa kuna namna sio bure!
 
Wanarembua hao!!! Paul Clement yaani jicho limelegeaaaaa!! Sijui ndio mapozi!!

Bongoflavour ktk gospel.
 
Hahaha...why not Rose Muhando?

Mimi katika nyimbo za Gospel zinazonibariki ni

Kwanza kwaya karibu zote za zamani. Hasahasa miaka ya 90-99 kama za Arusha mjini na Shangilieni. daaah

Pili, nyimbo za baadhi ya waimbaji wachache sana kama Christina Shusho, Abihudi Misholi, Ephraim Mwansasu na Bahati bukuku.

Lastly, ni nyimbo zote za kuabudu.
Yap...St. James Shangilieni....
 
Kuna wale jamaa wa Kijitonyama KKKT wakiongozwa na Joshua

Shangilieni enzi hizo kina Beatrice Mhone ni kisichana
Na nyimbo kama habri ya mwana mpotevu ....

Kuna mama jusi wa Moshi ..,.

Shusho kwa wasanii solo
Mwisho kabisa ni kwa Wazulu wa kwa Madiba wale watu wanaimba , kina Holly Cross Choir na nyimbo zao kama Lizwi ....
Mimi niliamua kubadili upepo na kuwa fan wa south africa.
Joyous celebration, spirit of praise na baadhi ya waimbaji binafsi wa huko
 
Kuna wale jamaa wa Kijitonyama KKKT wakiongozwa na Joshua

Shangilieni enzi hizo kina Beatrice Mhone ni kisichana
Na nyimbo kama habri ya mwana mpotevu ....

Kuna mama jusi wa Moshi ..,.

Shusho kwa wasanii solo
Mwisho kabisa ni kwa Wazulu wa kwa Madiba wale watu wanaimba , kina Holly Cross Choir na nyimbo zao kama Lizwi ....
Hahaha
We jamaa mkongwe una wafaham holy cross chair
Walinishika sana, walikuwa wana wimbo wao unaitwa siyakudumisa,
Mwingine my fav Ngena nathi
Hahaha zamaniii sanaaa.
 
Hahaha
We jamaa mkongwe una wafaham holy cross chair
Walinishika sana, walikuwa wana wimbo wao unaitwa siyakudumisa,
Mwingine my fav Ngena nathi
Hahaha zamaniii sanaaa.
Hahaha mkuu nimekulia kwenye familia moja hivi acha tu mshua alikuwa na interests kibao anapenda Gospel ,country songs ,anasikiliza Reggae anapenda sana wanyama na pia alikuwa anapenda Movies
Missing in action ya chuck noris naangalia na mshua niko na miaka mitano sijui
Hivyo kwa kweli nashukuru nilikuwa exposed kwenye vitu vingi katika umri mdogo

Holly Chross Choir nilipenda ile nyimbo ya Lizwi kwa sababu ya yule dada ,anaimba kwa pozi fulani hivi basi nikawa namuita mchumba si unajua mambo ya utoto tena
 
Yeah mkuu...na St. Theresa, wale ni waimbaji bana.

Yupo fundi mmoja wa music anaitwa Mkude wa RC.
Jamaa anacharaza kinanda Balaa....

Kwaya anayoiongoza ina waimbaji kama 80 ...Kwaya Kuu ya St. Cecilia...Wanaimba sana wale
 
Back
Top Bottom