Hawa waimbaji wa injili mbona wana mapozi tata sana?

Hawa waimbaji wa injili mbona wana mapozi tata sana?

Hzo nyimbo hunikumbusha utotoni hazichoshi kuimba na kusikiliza, kwaya ya mamajusi, kijitonyama, wale walioimba mwana mpotevu, nyimbo za zamani zilikua na upako sana, za sasa nyingi magumashi matupu.
Nyimbo za siku hizi ni biashara kuliko kuabudu.
Wanarudia mstaria mmoja mara mia ili wimbo ukolezee wauze.

Sintokaa nizinunue mi bado na selection yangu ya kwaya za zamani mama alinipa. Na bado zipo kwenye kanda.
 
Mungu naomba unisamehe ilaa hawa wasanii wawili wa gospel kwakweli kila nikiwangaliaa huwaa siwamalizi na mapozi yao. Yani lips wanapaka lipshine na wanavyozipandishaa hizo nyusi kwenye picha zao yaani wanarembuaa mpaka wanapitiliza.

Wasanii wenyewe ni Gosbert wa 'ipo siku' na Paul Clement wa 'amenifanyia amani'. Yaani mapoz yao siyaelewi kwakweli ila nyimbo zao zinanibariki sana.
Mkuu hapo ushamba wako wa kiroho jamaa yangu. Hujawahi sikia boringo/mziki wa dance, rap na rage?? Labda taarabugospo mimi ndiyo sijasikia.
 
Hahaha...why not Rose Muhando?

Mimi katika nyimbo za Gospel zinazonibariki ni

Kwanza kwaya karibu zote za zamani. Hasahasa miaka ya 90-99 kama za Arusha mjini na Shangilieni. daaah

Pili, nyimbo za baadhi ya waimbaji wachache sana kama Christina Shusho, Abihudi Misholi, Ephraim Mwansasu na Bahati bukuku.

Lastly, ni nyimbo zote za kuabudu.
Hiyo Shangilieni imo youtube?
 
Nyimbo za siku hizi ni biashara kuliko kuabudu.
Wanarudia mstaria mmoja mara mia ili wimbo ukolezee wauze.

Sintokaa nizinunue mi bado na selection yangu ya kwaya za zamani mama alinipa. Na bado zipo kwenye kanda.
Mi hata kununua siwezi kabisa maana wengi hawajui walitendalo, waimbaji wakike huko ndani na style zao sasa au kujipaka wanja ka shangingi, mi bora niendelee kusikiliza wana Bulyankulu barabara ya kumi na Tatu.
 
Hahaha mkuu nimekulia kwenye familia moja hivi acha tu mshua alikuwa na interests kibao anapenda Gospel ,country songs ,anasikiliza Reggae anapenda sana wanyama na pia alikuwa anapenda Movies
Missing in action ya chuck noris naangalia na mshua niko na miaka mitano sijui
Hivyo kwa kweli nashukuru nilikuwa exposed kwenye vitu vingi katika umri mdogo

Holly Chross Choir nilipenda ile nyimbo ya Lizwi kwa sababu ya yule dada ,anaimba kwa pozi fulani hivi basi nikawa namuita mchumba si unajua mambo ya utoto tena
Umenikumbusha Mbali Sana!
 
Sijawahi kuchoka kisikiliza kwaya ya Tumaini-Shangilieni, naweza kuingia You tube hata siku nzima nasikiliza tu nyimbo zao.

Nawapenda sana pia walinilea kwani karibu waimbaji wote pale walinifahamu tangu nikiwa mdogo.
Kuna ule wimbo...
"jamani shangwe, shangwe tushangile, simba wa Yuda kaaja kwa unyonge..."

Huo wimbo naweza sikiliza hata mara mia...
 
Wivu wa kike huu.

Paul Clement ni producer wa mda mrefu hata kabla Jux hajajua kama kuna mziki, 2007 ndiye aliyemuandali John Lissu albam ya Yu hai Jehova!

Pia ni muandaaji wa nyimbo za Christina Shushu ,Kilahilo etc!

Mungu wa Israel anaangilia Moyo na si kama wewe mtu wa dini ufanyavyo!

Pole sana,Ukiokoka utajua mambo ya Uungu!
Aaah km ni uungu na c MUNGU hapo ni sawa...
 
Kuna ule wimbo...
"jamani shangwe, shangwe tushangile, simba wa Yuda kaaja kwa unyonge..."

Huo wimbo naweza sikiliza hata mara mia...
Hahahaaaa
Aaah leo watu mna nikumbusha mbali kishenzi
Shangilieni hawa ndio walikuwa wanaimba gospel walikuwa fire kwel kweli.

Wimbo wa mwana mpotevu
hatariii aah! Old z gold
 
Kuna ule wimbo...
"jamani shangwe, shangwe tushangile, simba wa Yuda kaaja kwa unyonge..."

Huo wimbo naweza sikiliza hata mara mia...
Kwanini,tusianzishe uzi na ukawa steaky,halafu tukatupia Old School za Gospels?mie Mjomba Angu Niliyekulia Kwake Mpaka Leo Anayo Makasha ya Old Schools!Nikipata Muda Nitazipiga Picha na Kuzitupia Humu!
 
Back
Top Bottom