afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,150
- 9,255
Nyimbo za siku hizi ni biashara kuliko kuabudu.Hzo nyimbo hunikumbusha utotoni hazichoshi kuimba na kusikiliza, kwaya ya mamajusi, kijitonyama, wale walioimba mwana mpotevu, nyimbo za zamani zilikua na upako sana, za sasa nyingi magumashi matupu.
Wanarudia mstaria mmoja mara mia ili wimbo ukolezee wauze.
Sintokaa nizinunue mi bado na selection yangu ya kwaya za zamani mama alinipa. Na bado zipo kwenye kanda.