jerry joshy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 402
- 504
mmekutana wakina jerryJerry joshy bado unafagilia wanaume warembo?
Maekotite pleaseMungu naomba unisamehe ilaa hawa wasanii wawili wa gospel kwakweli kila nikiwangaliaa huwaa siwamalizi na mapozi yao. Yani lips wanapaka lipshine na wanavyozipandishaa hizo nyusi kwenye picha zao yaani wanarembuaa mpaka wanapitiliza.
Wasanii wenyewe ni Gosbert wa 'ipo siku' na Paul Clement wa 'amenifanyia amani'. Yaani mapoz yao siyaelewi kwakweli ila nyimbo zao zinanibariki sana.
Mkuu Asante kwa kututonya nimepita nimegundua kitu huyu mtoa mada inawezekana sio sio.Fatilia thread za mleta mada then utapata jibu
Hahaha...why not Rose Muhando?mm gospel zang zlizopo kwa flash yang ni zile za wasabato hasa hawa wa rwanda ambassadors, christina shusho, neema mwaipopo, martha mwaipaja, kidogo na bahati bukuku... zaid ya hapo gospel zingine ni kutoka mambele huko mfano mwanadada ana ADA wimbo unaitwa I TESTIFY... kama kuna wengine unawajua wa kufanana na hao nipe majina nianze kuwafwatilia...
usinitajie rose muhando plz
Tasha Cobbs,mm gospel zang zlizopo kwa flash yang ni zile za wasabato hasa hawa wa rwanda ambassadors, christina shusho, neema mwaipopo, martha mwaipaja, kidogo na bahati bukuku... zaid ya hapo gospel zingine ni kutoka mambele huko mfano mwanadada ana ADA wimbo unaitwa I TESTIFY... kama kuna wengine unawajua wa kufanana na hao nipe majina nianze kuwafwatilia...
usinitajie rose muhando plz
Hayo macho yanatushtua mamende