Mungu naomba unisamehe ilaa hawa wasanii wawili wa gospel kwakweli kila nikiwangaliaa huwaa siwamalizi na mapozi yao. Yani lips wanapaka lipshine na wanavyozipandishaa hizo nyusi kwenye picha zao yaani wanarembuaa mpaka wanapitiliza.
Wasanii wenyewe ni Gosbert wa 'ipo siku' na Paul Clement wa 'amenifanyia amani'. Yaani mapoz yao siyaelewi kwakweli ila nyimbo zao zinanibariki sana.
Mimi hiyo br 13 napenda zote ,tangu mwaka 89 kama sikosei nikiwa mdogo nimekuwa nikiipenda mpaka kesho
Msinisahau katika utukufu jamani....nakumbuka ule ulikua unaimba ..."Sauti hihiiii..sauti ikatokaaaaah...huyu ni mwanangu mpendwa mumsikilizeni atakayo wafundisha na myashikeni."..Halafu gitaa linapigwa hatari kama paradise vile...Mkuu,ebu uanzishe halafu ututag memba wote tuliochangia humu,nasi tutawatag wengine...plz?
Haha nenda jukwaa la entertainment kule, uzi upo tayariMsinisahau katika utukufu jamani....nakumbuka ule ulikua unaimba ..."Sauti hihiiii..sauti ikatokaaaaah...huyu ni mwanangu mpendwa mumsikilizeni atakayo wafundisha na myashikeni."..Halafu gitaa linapigwa hatari kama paradise vile...
Unatudanganya!,,Wivu wa kike huu.
Paul Clement ni producer wa mda mrefu hata kabla Jux hajajua kama kuna mziki, 2007 ndiye aliyemuandali John Lissu albam ya Yu hai Jehova!
Pia ni muandaaji wa nyimbo za Christina Shushu ,Kilahilo etc!
Mungu wa Israel anaangilia Moyo na si kama wewe mtu wa dini ufanyavyo!
Pole sana,Ukiokoka utajua mambo ya Uungu!
Kama uliisikia ile ngoma ya momusic (basi nenda) basi gizbert ndo producer wa hii ngoma akijiita lolipop, now days anaimba injili hata jina la bongoflava halitaki.Huyo Gozbert naufahamu wimbo wake mmoja tuu, ila naamini kama huyo Paul naye anafanana naye basi hao jamaa ni material ya bongo fleva kabisa. Wanatembea kwenye level za Jux hivi sema wamesoma soko la muziki wa injili litawalipa zaidi.
Kanisa Langu, Tangu Mwale Afungwe Kuna UkataYap...St. James Shangilieni....
Mungu naomba unisamehe ilaa hawa wasanii wawili wa gospel kwakweli kila nikiwangaliaa huwaa siwamalizi na mapozi yao. Yani lips wanapaka lipshine na wanavyozipandishaa hizo nyusi kwenye picha zao yaani wanarembuaa mpaka wanapitiliza.
Wasanii wenyewe ni Gosbert wa 'ipo siku' na Paul Clement wa 'amenifanyia amani'. Yaani mapoz yao siyaelewi kwakweli ila nyimbo zao zinanibariki sana.
Sio producer to hata kutunga ametunga yeyeKama uliisikia ile ngoma ya momusic (basi nenda) basi gizbert ndo producer wa hii ngoma akijiita lolipop, now days anaimba injili hata jina la bongoflava halitaki.
!Sio producer to hata kutunga ametunga yeye