Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Nimekutana na hii post muda sana! nlikuwa najaribu ku search nyimbo flani za wa RC za miaka ya nafkiri 95-99 by then nlikuwa mdogo sana sana! ila nakumbuka tulikuwa na cassete yake!huwa nasikiliza nyimbo za
1. marehemu fanuel sedekia,
2. chang'ombe vijana na ile kubwa, na
3. ULYANKULU- barabara ya 13(mapigano)
Mkuu by any chance unakumbuka kwaya za miaka ya 90-99 walizoimba nyimbo za kusifu moyo wa yesu?? au kuna nyimbo moja inaitwa nalifurahi?? ingine sheria yako??Hzo nyimbo hunikumbusha utotoni hazichoshi kuimba na kusikiliza, kwaya ya mamajusi, kijitonyama, wale walioimba mwana mpotevu, nyimbo za zamani zilikua na upako sana, za sasa nyingi magumashi matupu.
Ingia you tube search " Catholic Melodies" utazikuta hukoNimekutana na hii post muda sana! nlikuwa najaribu ku search nyimbo flani za wa RC za miaka ya nafkiri 95-99 by then nlikuwa mdogo sana sana! ila nakumbuka tulikuwa na cassete yake!
Too bad nakumbuka majina tu ya baadhi ya nyimbo
1.Nalifurahi waliponiambia, nitaingia nyumbani kwa bwana
2.Moyo Wake yesu,moyo mtakatifu moyo wa huruma
3.Sheria yako
Kama anayejua original choir zilizoimba hizi nyimbo anisaidie kupata majina! Too bad nlikuwa bado mdogo nimejaribu sana kuload memory ila wapii hamna kitu
shukrani sana mkuu!!Ingia you tube search " Catholic Melodies" utazikuta huko
AiseeGozbet mzuri kwenye kuimba sema yupo kike sana, Yani ukimuweka yeye na Rose Mhando , basi Gozbet ndo anakuwa dem
Basi kamuoeGozbet mzuri kwenye kuimba sema yupo kike sana, Yani ukimuweka yeye na Rose Mhando , basi Gozbet ndo anakuwa dem