Hawa waimbaji wa injili mbona wana mapozi tata sana?

Hawa waimbaji wa injili mbona wana mapozi tata sana?

Mimi sipendi gospel but nadhani huyu gozbert ukitoa personality yake. Yupo vizuri kwenye kazi zake anaimba uhalisia. Hamuabudu yesu ila mungu. So ndo mana nikiskia nyimbo zake naweza tega sikio
 
huwa nasikiliza nyimbo za

1. marehemu fanuel sedekia,

2. chang'ombe vijana na ile kubwa, na

3. ULYANKULU- barabara ya 13(mapigano)
Nimekutana na hii post muda sana! nlikuwa najaribu ku search nyimbo flani za wa RC za miaka ya nafkiri 95-99 by then nlikuwa mdogo sana sana! ila nakumbuka tulikuwa na cassete yake!
Too bad nakumbuka majina tu ya baadhi ya nyimbo
1.Nalifurahi waliponiambia, nitaingia nyumbani kwa bwana
2.Moyo Wake yesu,moyo mtakatifu moyo wa huruma
3.Sheria yako
Kama anayejua original choir zilizoimba hizi nyimbo anisaidie kupata majina! Too bad nlikuwa bado mdogo nimejaribu sana kuload memory ila wapii hamna kitu
 
Hzo nyimbo hunikumbusha utotoni hazichoshi kuimba na kusikiliza, kwaya ya mamajusi, kijitonyama, wale walioimba mwana mpotevu, nyimbo za zamani zilikua na upako sana, za sasa nyingi magumashi matupu.
Mkuu by any chance unakumbuka kwaya za miaka ya 90-99 walizoimba nyimbo za kusifu moyo wa yesu?? au kuna nyimbo moja inaitwa nalifurahi?? ingine sheria yako??
Kuna kwaya najaribu kuzikumbuka maskini nlikuwa mtoto sana nachokumbuka ni hizo tu juu!
 
Nimekutana na hii post muda sana! nlikuwa najaribu ku search nyimbo flani za wa RC za miaka ya nafkiri 95-99 by then nlikuwa mdogo sana sana! ila nakumbuka tulikuwa na cassete yake!
Too bad nakumbuka majina tu ya baadhi ya nyimbo
1.Nalifurahi waliponiambia, nitaingia nyumbani kwa bwana
2.Moyo Wake yesu,moyo mtakatifu moyo wa huruma
3.Sheria yako
Kama anayejua original choir zilizoimba hizi nyimbo anisaidie kupata majina! Too bad nlikuwa bado mdogo nimejaribu sana kuload memory ila wapii hamna kitu
Ingia you tube search " Catholic Melodies" utazikuta huko
 
Gozbet mzuri kwenye kuimba sema yupo kike sana, Yani ukimuweka yeye na Rose Mhando , basi Gozbet ndo anakuwa dem
 
Mhhhh, Wema Sepetu hajawaona nini? Kwa sasa namezea yangu ya moyoni ila siku nikiwaona wanabeba mikoba ya Wema ndipo nitajuwa kweli ule ubwabwa umeiva tayari.
 
Mtoa mada nahisi anatatizo katika homoni zake
 
Back
Top Bottom