Hawa waimbaji wa injili mbona wana mapozi tata sana?

Hapa sasa ndio penyewe

Haswaa hapo kuna huyo dada mweupe anaitwa Heriet, mzuri kweli alisemwa sana mtaani miaka ya 1996-1997 kuwa ni kiruka njia ila alivyojiunga na hiyo kwaya....sauti ya pili ilimpa heshima kubwa sana kwenye jamii.

Huyo mama anayeimba "jamaani shangwee...shaaangwe tushangilie siimba wa yuda...."

ana roho nzuri sana.
 
Kumbe ni wakimbizi, kwakweli walibarikiwa, nyimbo zao hazichuji,kila siku ukizisikiliza hazichoshi.
Ndio ni wakimbizi...nafikiri wa burundi na nyimbo nyingi walitunga wakiwa kambini kwenye mazingira magumu

Hapo ndipo utaamini kuwa Mungu ni muweza.

Ila pongezi nyingi pia ziende kwa Radio Habari Maalum (RHM), Arusha.
 
Jamani!! Ana sauti nzuri sana huyo dada.
 
Ndio ni wakimbizi...nafikiri wa burundi na nyimbo nyingi walitunga wakiwa kambini kwenye mazingira magumu

Hapo ndipo utaamini kuwa Mungu ni muweza.

Ila pongezi nyingi pia ziende kwa Radio Habari Maalum (RHM), Arusha.
Kwakweli God is great.

Hivi RHM ilikufaga na Sedekia au bado ipo? Maana iliwika sana kipindi hicho.
 
Hao kina Gozbert wahamie bongo fleva tu kama alivyofanya mwenzao Ruby..

Ruby alikuwa anaimba gospel,akakutana na THT,akaangukia mikononi mwa Ruge akambatiza jina na kumpa jina la Ruby...

Leo Ruge amemtenda[emoji38][emoji38]!!bora arudi kwenye Gospelfleva tu kama Walter chilambo
 
kaka kumbe tuko pamoja...tafuta nyimbo za steve crown,sinach hakika hutajuta kuwasikiliza wale wanaimba Gosple nzuri
 
Kabla ya kubatizwa jina la Ruby aliitwaje?
 
SHANGILIENI ARUSHA MI NABARIKIWA SAN ATANGU MDOGO NA NILIIFUMA CD UKUBWANI NIKANUNUA
 
Dini siku nyingi ishakuwa biashara
 
Usikariri mambo,,,,kuna gospel nyingi tu mfano zambia wengi wao lazma wakate uno,, mimi nadhan ni tamaduni za sehemu tofaut
SUALA siyo kukariri ni ethics za kila field never mind kaimba nani na wapi viuno vina mahali pake kama unafuatilia tafuta nyimbo za kwaya za Zambia, Kongo Brazaville na Kongo DRC kabla ya mwaka 2000 kurudi nyuma utakubali na kuelewa nini ninachokilalamikia.
 
Reactions: Pep
Hahaaa!!! Eti wanatutania!!
Unasikiliza wimbo unawaza hiki kitu gani sasa, wimbo si wimbo kelele sio kelele basi tafrani tu.
Hahaha

Wanatuibia pesa zetu na kutupotezea mda tuu hawa!!
 
Asee hao jamaa wawili wanao piga kinanda na gitaa ni ndugu!!?
Halafu huyo tall bado yupo!?
 
Watanzania wambeya sana....acha unaa wewe
 
Asee hao jamaa wawili wanao piga kinanda na gitaa ni ndugu!!?
Halafu huyo tall bado yupo!?
Hawa sijui kama ni ndugu, ila kuna watu wazima hapo hawapo tena nasi...

Ila kuna wengine mfano kuna huyo jamaa ambaye anaonekana sana na kumhoji mmama anaitwa Godfrey (Gody) na wengine bado wapo na wanasali St. James Kaloleni.

Huyo jamaa ndio mume wa Beatrice Muhone.
 
Daah! Walio tanguoa RIP

Huyo Godi anaonekana mjanja mjanja na mcheshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…