Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Hapa sasa ndio penyewe
Haswaa hapo kuna huyo dada mweupe anaitwa Heriet, mzuri kweli alisemwa sana mtaani miaka ya 1996-1997 kuwa ni kiruka njia ila alivyojiunga na hiyo kwaya....sauti ya pili ilimpa heshima kubwa sana kwenye jamii.
Huyo mama anayeimba "jamaani shangwee...shaaangwe tushangilie siimba wa yuda...."
ana roho nzuri sana.