Hawa wajasiriamali maarufu chini ya miaka 30 wanapoteleaga wapi kibiashara wakishavuka miaka 30?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ni watu ambao kwa kipindi hicho walitupa hamasa na tukaona watafika mbali sana kwenye ujasiriamali lakini mambo ymekuwa ndivyo sivyo kwa wengi hasa wakivuka 30

Patrick Ngowi - Alikuwa na kampuni ya sola, aliingia madeni sijui yupo wapi kwa sasa

Jokate Mwegelo - Biashara ilianza kwenda hovyo, Teuzi Zikamuokoa.

Kuna yule kijana alieleta mfumo wa max malipo alilamba kama milioni 800 hivi, akavuta range kali sana, wapi siku hizi ?
 
MO
 
Kuna kijana mmoja ana kampuni inaitwa Magilatech unamfahamu?
 
Project zao zilinunuliwa tu na wapo wanafanya miradi mingine
 
Kuna kijana mmoja ana kampuni inaitwa Magilatech unamfahamu?
Ni mmoja ya hawa ''wasanii wajasiamali'' wengi wa Bongo ambao wakipata mafanikio kidogo tu hujiona wamekuwa miungu watu, na hutumia muda mwingi kutangaza mafanikio yao na kuonyesha ufahari? Kuna clip niliiona eti ya wanaitwa ''young CEO'' wanaelezea ''mafanikio'' yao. Alikuwepo mmoja mwenye undugu na Magufuli (yule aliyegombea ubunge Kawe, akashinda lakini jina lake likaondolewa). Jamaa ni mwongo kweli kweli na anapenda kujisifu kijinga sana. Eti anasema ametengeneza software program inayotumika kuangalia matokeo ya wanaosomea udaktari. Halafu hapo hapo anawatishia wateja wake kuwa ''mimi nina uwezo wa kuangalia hata matokeo yako nikayajua''. Hapa unaweza kuona alivyo bwege. Kampuni za software zinajitangaza kuzingatia privacy za watu na kujinadi kuwa hata wao hawawezi kujua data za watumiaji ambazo ni siri lakini huyo bwege anatishia kuwa anazipekuwa.
 
Hahaha kampuni nyingi za soft development bongo za kimagumashi ikiwemo ile ya jamaa mashuhuri sm... Code
Mag anajua kucheza na wazee wa costech
 
Ni watu ambao kwa kipindi hicho walitupa hamasa na tukaona watafika mbali sana kwenye ujasiriamali lakini mambo ymekuwa ndivyo sivyo kwa wengi hasa wakivuka 30

Patrick Ngowi - Alikuwa na kampuni ya sola, aliingia madeni sijui yupo wapi kwa sasa

Jokate Mwegelo - Biashara ilianza kwenda hovyo, Teuzi Zikamuokoa.

Kuna yule kijana alieleta mfumo wa max malipo alilamba kama milioni 800 hivi, akavuta range kali sana, wapi siku hizi ?

Hivi Max Malipo aliishia wapi? Aliishiaje? Kwa staili gani? Maana siamini hasikiki popote
 
Mara nyingi ni wajasiriamali wa mchongo. Huwa wanalipa pesa kuwa listed on Forbes na kuvutia investors ili wawapige. Magazines kadhaa zimesema hili kwa muda mrefu:

Back
Top Bottom