Hawa Wajeda wa Burkina Faso kiboko wamepanda balaa!

Hawa Wajeda wa Burkina Faso kiboko wamepanda balaa!

Watu wa kawaida au kati unamaanisha nini ? Mmarekani mwenye kimo cha kati kwa Tanzania au Japani ni giants, mtu ambaye Tanzania anaonekana mrefu kwa Marekani ni wastani au hata chini ya hapo, wale tunaowaita tall hapa kwetu akienda Ulaya wala hataonekana.
Huu ndio ukweli mkuu, jamaa ni wakubwa mno halafu wenyewe wanaona kawaida tu, futi sita marekani na ulaya ni kawaida wakati kwetu futi sita ni tall
 
Ajabu nchi nyingi za Afrika magharibi zinapinduliwa na captains, Luteni kanali aghalabu kusikia major generals au brigedia
Hao early career/juniors wanatangulizwa tu. Wazee/Seniors wamekaa pembeni wanasubiria kugawana tenda serikalini
 
Ajabu nchi nyingi za Afrika magharibi zinapinduliwa na captains, Luteni kanali aghalabu kusikia major generals au brigedia
Ni utaratibu wa kijeshi mkuu..maboss huwa wanataarifiwa tu na hua wanatoa baraka zote wao ndio huwa wanakua wanaendesha nchi na kula mema ya nchi...
 
Hiyo miili yao mikubwa ni asili yao na iliwagharimu sana Mababu zao wakasombwa sana kwny Biashara ya Utumwa

Bila shaka hakuna Mpare wala Mzaramo aliekuwa mtumwa kwa kuwa kwanza wana vimiili vidogo vidogo na hata nguvu za kazi hakuna
Nani amekwambia wazaramu wana vimwili vidogo vidogo.
Mimi ni mzaramo na ukoo wetu wote mfupi ni kuanzia 5.9 feet, na bila shaka wewe nimekuzidi nguvu mpaka urefu.

Acha kuspread hizi wrong information bila research wala experiment unless unafanya propaganda njaa.
Condescending statement from a patronizer and a disparagement spreader.
Hypocrite.
 
Sawa Mkuu niwie radhi

Back
Top Bottom