Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kuuliza kama wapo huko kwenu uone.Mh hata mi nilishawah kusikia kuwa hawa huwa wanadanja..but...mh..sina uhakika
Sawa mkuuNafasi hiyo haitangazwi ili kila mtanzania mwenye sifa aombe. Inapatikana tokana babako, mjomba, kaka shangazi, binamu nk ana madaraka gani mtaa wa Lumumba Kariakoo. Vinginevyo uwe na kadi umoja wa vijana wa chama chapa ya Lumumba, vinginevyo ushikwe mkono na kigogo furani, (maana pana posho ndefu).
Ni kweli mkuu,ni kutokana na shughuli nzito aliyonayoKuna MTU hapa zakhemu ana tulisha matango poli eti kiongozi wa mbio ana andaliwa kila kitu Pia ana pewa mtoto mzuri wa kupumzika nae huku wengine mkikesha haya mambo yote ya kilatibiwa mkuu wa wilaya na mkoa.nimevutiwa sana na hii kitu. Leo nimeota kuteuliwa kuwa kiongozi wa mbio za mwenge. Ni ngependa kujuzwa haya
Kigezo? Ni kwa walioaskari tuu ama hata raia wa kawaida?Unatuma maombi kupitia ofisi ya mkuu wa wilaya wako yeye ndo hutuma mkoani kisha wizarani ambao ndio huchagua watatu wakimbizaji kitaifa mwisho wankutuma maombi huwa desemba kila mwaka
Ni mtu yoyote tu ndio maana kila mwaka utasikia wakimbizaji wanasifa tofauti kuna mwaka utasikia walimu, afsa kilimo bwana michezo mwanajeshi n.kKigezo? Ni kwa walioaskari tuu ama hata raia wa kawaida?