Thebroker
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,334
- 5,829
Kwa style hizo za maisha ni ngumu sana kufika miaka 45 na kuendelea.Malaya hazeeki mzee wangu
Malaya uwe wa kiume au wakike hauzeeki unakufa mapema
Uzee wa mtu anayetunza mwili wake si sawa na Malaya hata mara moja