Hawa wakitoka Half time tutawachapa sana. Watarudi wamechoooooka sana

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,517
Reaction score
3,316
Labda wasiingine kwenye vile vyumba hawa mbwa. Ndo watajua Yanga ni team kubwa Tz siyo kama mikia.

Tutawachapa. Watarudi wamechoooka kinyama. Hapo lazima Shalulile atupie na Sele Gomes. Za kutosha hasa
 
Yah kama wale wa guinea wao wamerudi wanapiga miayo huku wenzao ndio "Kasi ya radi"imeongezeka hadi kipofu akaona mwezi
 
Labda wasiingine kwenye vile vyumba hawa mbwa. Ndo watajua Yanga ni team kubwa Tz siyo kama mikia.

Tutawachapa. Watarudi wamechoooka kinyama. Hapo lazima Shalulile atupie na Sele Gomes. Za kutosha hasa
Shalulile yumo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…