Hawa Wakuu wa Wilaya waliotokea CHADEMA waangaliwe kwa jicho la 3 ni kama wanamhujumu Rais!

Hadi sasa tunao Joshua Nassari, Ambrose Lijualikali na Dr Mashinji

Sisemi kwa uhakika ila ni kama wanahujumu Serikali na Chama

Unapomfukuza shule mtoto kisa baba yake ni mpinzani Wewe lazima uwe Laanatula uliyetukuka

Mtanishukuru baadaye 🐼
RAIS Yupi Nawe
 
Siyo kwamba wanamfurahisha rais kwa kuwanyanyasa wapinzani?
 
Hadi sasa tunao Joshua Nassari, Ambrose Lijualikali na Dr Mashinji

Sisemi kwa uhakika ila ni kama wanahujumu Serikali na Chama

Unapomfukuza shule mtoto kisa baba yake ni mpinzani Wewe lazima uwe Laanatula uliyetukuka

Mtanishukuru baadaye 🐼
Unataka kusema ni mamluki? wametumwa na Chadema kuipaka tope serikali tukufu ya CCM?
Mi naona wanatafuta kiki Wana kiu na political legitimacy ndani ya CCM, wanaangalia namna ya kuwa relevant na kupata attention ya mkuu kama anayopata Makonda role model wa Lucas Mwashambwa
 
Hadi sasa tunao Joshua Nassari, Ambrose Lijualikali na Dr Mashinji

Sisemi kwa uhakika ila ni kama wanahujumu Serikali na Chama

Unapomfukuza shule mtoto kisa baba yake ni mpinzani Wewe lazima uwe Laanatula uliyetukuka

Mtanishukuru baadaye 🐼
Vijana wengi wana mihemuko. Ila lijuakali yule ana shida si bure sema ni vile tu siku hizi hawajali.
Sasa ugomvi wa mwalimu na mzazi kwanini umpe adhabu mtoto?
 
Vijana wengi wana mihemuko. Ila lijuakali yule ana shida si bure sema ni vile tu siku hizi hawajali.
Sasa ugomvi wa mwalimu na mzazi kwanini umpe adhabu mtoto?
Halafu huyu Lijualikali alikuwa Librarian wa Kanisa Moja Takatifu La Mitume 😄
 
Hadi sasa tunao Joshua Nassari, Ambrose Lijualikali na Dr Mashinji

Sisemi kwa uhakika ila ni kama wanahujumu Serikali na Chama

Unapomfukuza shule mtoto kisa baba yake ni mpinzani Wewe lazima uwe Laanatula uliyetukuka

Mtanishukuru baadaye 🐼
Walikuwa hawana ajenda yeyote iliyowapeleka kule zaidi ya KUUNGA MKONO JUHUDI MFU.Nakumbuka Lijualikali alilia bungeni ati anaonewa na chama chake. Mwisho wao umefika!
Unaweza kutembea na ko....mu iliyotumika???
 
Hawa watu wa hivi na uamuzi wa hivi huwa wwnayatoa kwenye vichwa vyao vyenye funza
Sina upande wowote lakini kama leo anafukuza kisa upinzani basi kesho atakuja mwingine na kufukuza kisa ni Dini flani
Huu upambavu ni wa mtu mmoja na sio katumwa wala nini, anafaa atimuliwe ili isije kutokea kwa wengine
 
Mimi nina swali kwako hiko kisiwa chako kikivamiwa na wageni huko tayari kukilinda huko ulipo?

Toa jibu la moyoni na ukweli nataka hawa watu wajifunze kwenye nationalism propaganda hawa watu wanatumia nguvu nyingi sana kwenye hiyo shughuli hata wageni waone hiyo ni nchi yao.

Hawa watu hata sherehe za mashujaa hawana wataalamu wa kuzitengenezea connotation muhimu, usalama gani wa taifa unaweza afiki mambo kama haya duniani.

Yes I know umewahi kulitumikia taifa lako la Tanzania kwenye sensitive post.

Ila hiko kisiwa ulichopo leo kikivamiwa vipi autobeba silaha kukilinda?

Hawa watu inabidi waelewe kuhusu nationalism propaganda, it’s not a cheap job.
 
Mimi nina swali kwako hiko kisiwa chako kikivamiwa na wageni huko tayari kukilinda huko ulipo?
Hapana siko tayari kabisa kwani huku hakuna shobo wala majivuno
Kuna veteran mmoja amesema tukichakazwa jeshi lina uwezo wa kupigana miezi 6 tu kama litapigana
Sasa nihangaike ya nini si bora niibe meli nije nipambane Znz
 
Hadi sasa tunao Joshua Nassari, Ambrose Lijualikali na Dr Mashinji

Sisemi kwa uhakika ila ni kama wanahujumu Serikali na Chama

Unapomfukuza shule mtoto kisa baba yake ni mpinzani Wewe lazima uwe Laanatula uliyetukuka

Mtanishukuru baadaye 🐼
Wewe wafikili walio ccm katika teuzi mbali wanapenda kile chafanyika nchi hii, Mzee Warioba katoa ya moyoni mwake what next, utashangaa sana.
 
Hapana siko tayari kabisa kwani huku hakuna shobo wala majivuno
Kuna veteran mmoja amesema tukichakazwa jeshi lina uwezo wa kupigana miezi 6 tu kama litapigana
Sasa nihangaike ya nini si bora niibe meli nije nipambane Znz
Wewe huko ulipo hali ikiwa tete wamevamiwa wanahitaji volunteer huko tayari kukilinda hiko kisiwa au la?

Jeshi ndio lishazidiwa hiyo miezi 6 imepita MoD inahitaji volunteer wenye uwezo as third line of defence.

Usijibu kishabiki but from the bottom of your heart.

Lengo ni moja hawa watu lazima waelewe nationalism propaganda sio mambo ya mzaha, huu upuuzi wao wa kuchukulia shughuli za mashujaa ni poa tu kuzifuta au mwenge wa uhuru aina maana kisa events zake waandaaji hawana mbinu za propaganda wakati ni mambo ya msingi kwa taifa.

Be honest hiko kisiwa chenu kikivamiwa jeshi ndio lishashindwa MoD inahitaji volunteers hata kama sio kupigana bali kusaidia war efforts utanyuti tu nyumbani.

Be honest, hawa watu lazima waelewe propaganda za uzalendo sio swala la mzaha
 
Hadi sasa tunao Joshua Nassari, Ambrose Lijualikali na Dr Mashinji

Sisemi kwa uhakika ila ni kama wanahujumu Serikali na Chama

Unapomfukuza shule mtoto kisa baba yake ni mpinzani Wewe lazima uwe Laanatula uliyetukuka

Mtanishukuru baadaye 🐼
Lijualikali ni Nusu mwehu kabisa hata nashangaa wanaomvumilia kwenye hiyo nafasi. Sidhani kama CCM mkoa wa Rukwa inaunga mkono Lijualikali kuwa DC Nkasi. Tabia za uasherati na wake za watu, rushwa toka Kwa watumishi hasa Maafisa uvuvi ziwa Tanganyika, uporaji wa Ardhi kijiji cha Kakoma iliyomegwa toka pori la akiba Lwafi, kuingilia maamuzi ya wataalamu nk, yote haya CCM wanayajua na MH Rais alipozuru Rukwa mwezi Julai aliambiwa.
 
Mkuu to be honest ni lazima nikubali lolote serikali itakavyotaka
Nimepitia jeshini na ninajua mengi na niko tayari kufa kwa ajili ya nchi hata kama sio asili yangu bali ndio iliyonilea kwa miaka karibu 40
Kwa hiyo sio mimi hata wanangu watailinda na kuisaidia hatutakaa kizembe
Lazima mtu uitetee nchi yako kwa hali na mali na sio maneno tu
Uwezo wa kufanya ninao na likitokea nitakuwa nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…