Wewe huko ulipo hali ikiwa tete wamevamiwa wanahitaji volunteer huko tayari kukilinda hiko kisiwa au la?
Jeshi ndio lishazidiwa hiyo miezi 6 imepita MoD inahitaji volunteer wenye uwezo as third line of defence.
Usijibu kishabiki but from the bottom of your heart.
Lengo ni moja hawa watu lazima waelewe nationalism propaganda sio mambo ya mzaha, huu upuuzi wao wa kuchukulia shughuli za mashujaa ni poa tu kuzifuta au mwenge wa uhuru aina maana kisa events zake waandaaji hawana mbinu za propaganda wakati ni mambo ya msingi kwa taifa.
Be honest hiko kisiwa chenu kikivamiwa jeshi ndio lishashindwa MoD inahitaji volunteers hata kama sio kupigana bali kusaidia war efforts utanyuti tu nyumbani.
Be honest, hawa watu lazima waelewe propaganda za uzalendo sio swala la mzaha