Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Wassira aliwahi kusema hazeeki akili bali mwili.Yaani kweli unatuonaje sisi Watanzania wenzako.
Kisa nn hadi utuletee hivyo vizeee.
Hivi Mzee Butiku huwa ana kitu gani special ni mzee wa kawaida sana ana bebwa na jina la Mwalimu tu ila hana busara za kawaida tu kama wazee wengine wa kule Nanjilinji.
2.Fatma Karume ni aina ya wanaharakati ila sio viongozi wao kazi yao ni kuonyesha kuliko pinda ili viongozi warekebishe.
3.Prof Mwandosya ana busara nyingi ila umri umemtupa mkono hata Mzee Mangula, Wasira nk.
Capt. George Mkuchika (Institutional Memory ya serikali na Jasusi wa Jeshi rtd)Kwenye list ongeza na hawa basi.
1. Fredrick Sumaye
2. JK
3. Mizengo Pinda
4. Joseph Warioba
5. Amani Karume
Unajua wengine uliowataja wana miaka 100! Usione uso umepigwa scrab!Kama tunahitaji Maspika goigoi wa kuburuza wako wengi sana. Lakini kama tunahitaji Spika imara wa kuisimamia serikali kwa kumsaidia Rais kukamilisha kazi basi hawa walazimishwe kuchukuwa fomu kwa nguvu wapende wasipende:
1. Joseph Butiku
View attachment 2072483
2. Kassim Majaliwa
View attachment 2072486
3. Palamagamba Kabudi
(wazungu walilalamika kwamba aondolewe mambo ya nje kwa sababu kila akihutubia wazungu lazima watafute dictionary)
View attachment 2072487
4. Mark Mwandosya
View attachment 2072499
5. David Kafulila
View attachment 2072507
Reserve:
1. Stephen Wassira (mtu na mpwa wake)
View attachment 2072560
2. Bernard Membe
View attachment 2072562
3. January Makamba
View attachment 2072565
4. Fatma Karume
View attachment 2072569
5. Makongoro Nyerere
View attachment 2072570
6. Philip Mangula
View attachment 2072588
7. Dr. Wilbroad Slaa
View attachment 2072617
Taswira zote kwa hisani ya google.
Mkuu, system inakujuwa?? Hata ungekuwa na uwezo kama wa Malaika kama system haikujui usihangaike kuota ndoto hizo mkuu. Hiyo ndiyo kanuni ya dunia hii.Em tutolee hizo list za hovyo.
Hiv kwanin usijitaje wew? Kama umeweza kuona uwezo wa hao watu uliowataja, basi ujue hata wew unao huo uwezo kuweza kushika nguzo na kukalia kiti cha uspika,
Acha uchawa fanya uwezalo nawew jina lako liwemo kati ya wanaoutaka uo uspika.
Kwanza taifa lina watu wengi sana ambao wanaweza shika usukani, na sio kila siku kuwashikilia watu ambao wameshachakaa ktk taifa,
nowadays tunahitaji mbegu mpya za viongoz wapya ambao wanajua shida za wananchi na watakwenda bungeni kubadiri upepo wa siasa za nchi na kuchachua kasi ya maendeleo.
Wanamwogopa sana, unaona hadi wamemmuweka ndani bila sababu kwa uoga wao
Wanasiasa waliishagapitisha zamani msemo kwamba kwenye siasa ubongo haunaga makunyanzi (ubongo hauzeekagi)Unajua wengine uliowataja wana miaka 100! Usione uso umepigwa scrab!
Kwani wao wanatamani linyooke?