Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
- Thread starter
- #21
Dr. Slaa alifulia na kulia mbele ya Waandishi wa habari kwamba anaishi kwa kula mihogo ya kuchoma hadi alipoenda Canada na kupata kazi ya kuuza Supermarket, hiyo odyssey haikumzuia kuwa Balozi (VIP) na amerudi mtaani lakini akiwa na hadhi ya Diplomat.Yaani mleta mada kweli umefulia, hadi akina Kafulila?
Umesahau majuzi tu Kafulila alifulia na kulia?
David Kafulila MBA CM, amepewa tuzo mbili za kimataifa kufuatia uwezo wake. Ila upepo utakapogeukia Ma-RC najuwa haponi.
Nyalandu na Masha nao wakae mkao wa kula kurudi jikoni.