Dr. Slaa alifulia na kulia mbele ya Waandishi wa habari kwamba anaishi kwa kula mihogo ya kuchoma hadi alipoenda Canada na kupata kazi ya kuuza Supermarket, hiyo odyssey haikumzuia kuwa Balozi (VIP) na amerudi mtaani lakini akiwa na hadhi ya Diplomat.
David Kafulila MBA CM, amepewa tuzo mbili za kimataifa kufuatia uwezo wake. Ila upepo utakapogeukia Ma-RC najuwa haponi.
Nyalandu na Masha nao wakae mkao wa kula kurudi jikoni.