Hawa waliotuletea network marketing wanatumalizia vijana wetu ari yakutafta pesa

Mmoja alikuja kanisa tunaloabudu... Basi kumbe anaangaliangalia nani wa kuwaingiza king... Basi jamaa mmoja akawa interested.. Unajua mtu akiwa hana kazi, kipindi hicho jamaa yangu alikuwa jobless... Basi kutowakatisha tamaa na mimi nikaenda kuhudhuria semina, walifanyia kipindi hicho hapo ukumbi fulani hapa town...Basi wakaanza, kila mmoja anakuja na sound jinsi alivyofanikiwa kwa biashara hiyo, sikukumbuki walikuwa ni bidhaa gani.. Basi na mimi nikawaambia, yes naona hii kitu inalipa.. Sasa ngoma ikaja kulipa sh.. 300,000 au zaidi kidogo.. Jamaa yangu akalipa... Aliponifuatilia zaidi, nikwamwambia, nina biashara yangu nafanya..Hivyo nakoconcentrate kule... Hakukata tamaa baada ya muda.... Sikumuona tena na kanisani akawa hayupo.
 
Hahaa wale na hisi muda sio mfupi wataanza kushikwa na uchizi
 
Vile vijamaa vinavaa suti na kushika simu za iPhone za kukodisha ili kushawishi vijana..
 
hahaha una roho mbaya sana
 
Ugumu wa maisha humtumbukiza mtu kokote.Ila ndo maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…