agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Nishaongea mpaka ananichukia.Hahaha uwe unamkumbusha mwisho ataelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishaongea mpaka ananichukia.Hahaha uwe unamkumbusha mwisho ataelewa
Wanawapotosha sana ndugu zetu.Mkuu kapagawa na yale mahesabu wanayopigiwa wakiwa kwenye semina alafu wanachowateka zaidi lecture wao huwa wanakuwa machalii na suti zao za kuazima yaani akiwaona lazima adate tu.
Siyo kidogo mkuuWanawapotosha sana ndugu zetu.
Hahaha wanaongea kama cherehani inavyo shona nguoHakuna wajinga kama hawa Mimi huwa wakianza mizuka yao nawaambia komea hapo hapo ukiendelea nakumaliza acheni wizi huu ni wizi tu wa leseni
Hahaa wale na hisi muda sio mfupi wataanza kushikwa na uchiziMkuu nimecheka sana nilivyomaliza kusoma uzi huu,kuna boya flani alinipeleka bila kujua mara tukaingia kwenye ukumbi sijui walikuwa na semina ,
Wanavyocalculate mambo ya hela ukiwa na kichwa cha panzi asee utasema kesho tu nikilala naamka tajiri dadeki njoo kwenye uhalisia sasa,
Eti kapafyumu kadoncho kinyama kanauzwa elfu 15 dadeki nani anunue kwa usawa huu.
We acha tu mkuuHahaa wale na hisi muda sio mfupi wataanza kushikwa na uchizi
Serikali yenyewe inaishi kwa kodi ya kubet inaweza kuliona hili?
Bring back moo
Vile vijamaa vinavaa suti na kushika simu za iPhone za kukodisha ili kushawishi vijana..
hahaha una roho mbaya sanaHawa vijana ni wapumbavu sana..namba yangu ya simu wameitapanya kwa kila boss wao wa network marketing mpaka nje ya nchi.
Wapuuzi hushindana kunikaribisha kuhudhilulia seminars zao ,
Kuwakomesha huwa nawaomba sh 150,000 kama nauli na gharama ndogo ndogo ili nifike ofisini kwao kwa sababu najua hawana hata 10,000.
Hahaha wanaongea kama cherehani inavyo shona nguo
Upo "!! mkuuWe acha tu mkuu
Nipo mkuu niambieUpo "!! mkuu
HAO WANAPUMBAZWA KISAIKOLOJIA SO INAHITAJIKA SAIKOLOJIA KUWANASUA
[emoji23][emoji23]..nguo zinakodishwa sembuse simu??!!🤣🤣🤣🤣 kuna simu ad zakukodi mkuu
Zipo kwa mafundi simu zenyewe huwezi kukuta ata wakichati mkuu sijui ni mbovu zile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna simu ad zakukodi mkuu