magombe junior
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,018
- 1,042
- Thread starter
-
- #41
[emoji23][emoji23]..nguo zinakodishwa sembuse simu??!!
Zipo kwa mafundi simu zenyewe huwezi kukuta ata wakichati mkuu sijui ni mbovu zile
hahaha una roho mbaya sana
Ahahahahahhaah duuuh et suti ya kuungaungaπ€£π€£π€£ vijana wana matumain gorofa aisee,yan nikama wanaish kwenye ndoto,wanatembea kwa kujitutumua yan mm nimekaribia kumcheka mmoja,mana naona sut kaunga unga alaf ukimuangalia kwa makin hana furaha kabisaaa uson [emoji23][emoji23][emoji23]
Ugumu wa maisha humtumbukiza mtu kokote.Ila ndo maisha
Aisee acha tu ... mimi huwa wananitumia text zao messenger "hata kuwajibu huwa siwajibuHahaha yan wamejazwa false hopes
Aisee acha tu ... mimi huwa wananitumia text zao messenger "hata kuwajibu huwa siwajibu
Wanashindwa kuuelewa ule msemo wa wahenga " usemao UKIMUONA NYANI MZEE BASI UJUE KAKWEPA MENGI ....
watu tumesharuka viunzi vingi tangu enzi za Yahoo huko ".. za kutumiwa emails na wa Nigeria eti Anajifanya kuwa ni demu ametokea kukutunuku ".. baba Yake alikuwa tajiri blah blah blah kibao ".. so umtumie account number akuingizie mzigo bank"... still watu hatukuweza kutapeliwa mpaka sasa hivi wamekuja na huu ujinga wao wa FOREVER LIVING ..( network marketing)
safi mkuu na kusabahi tuNipo mkuu niambie
Nashukuru mkuusafi mkuu na kusabahi tu
Hahaa we Acha tuπ€£π€£π€£ mkuu kwel mhenga
Kuna jengo flani ndio ninapo tafutia ugali basi hawa jamaa wana ofisi yao floor inayo fata kutoka nilipo, daily nina waona na suti na tai kuwe na jua kuwe na mvua hayo ndio mavazi yao, sasa silaha yao kubwa wanayo tumia ni kujitahidi wapate number yako ya simu aisee ni wasumbufu vibaya mno, ana kuambia ana ingiza zaidi ya million moja kwa siku uki muangalia mtu mwenyewe anaye sema ana ingiza hiyo hela una baki una sema hiiii....!

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] AkiamunguMkuu nimecheka sana nilivyomaliza kusoma uzi huu,kuna boya flani alinipeleka bila kujua mara tukaingia kwenye ukumbi sijui walikuwa na semina ,
Wanavyocalculate mambo ya hela ukiwa na kichwa cha panzi asee utasema kesho tu nikilala naamka tajiri dadeki njoo kwenye uhalisia sasa,
Eti kapafyumu kadoncho kinyama kanauzwa elfu 15 dadeki nani anunue kwa usawa huu.
Chapeni bakorakuna ndugu yangu mmoja huwa ananitoa machozi kwa huo ujinga,asikii wala haelewi mwaka wa pili sasa kawa kama msukule.