Hawa waliotuletea network marketing wanatumalizia vijana wetu ari yakutafta pesa

🤣🤣🤣 vijana wana matumain gorofa aisee,yan nikama wanaish kwenye ndoto,wanatembea kwa kujitutumua yan mm nimekaribia kumcheka mmoja,mana naona sut kaunga unga alaf ukimuangalia kwa makin hana furaha kabisaaa uson [emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahahahahhaah duuuh et suti ya kuungaunga
 
Hahaha yan wamejazwa false hopes
Aisee acha tu ... mimi huwa wananitumia text zao messenger "hata kuwajibu huwa siwajibu

Wanashindwa kuuelewa ule msemo wa wahenga " usemao UKIMUONA NYANI MZEE BASI UJUE KAKWEPA MIKUKI MINGI.

watu tumesharuka viunzi vingi tangu enzi za Yahoo huko ".. za kutumiwa emails na wa Nigeria eti Anajifanya kuwa ni demu ametokea kukutunuku ".. baba Yake alikuwa tajiri blah blah blah kibao ".. so umtumie account number akuingizie mzigo bank"... still watu hatukuweza kutapeliwa mpaka sasa hivi wamekuja na huu ujinga wao wa FOREVER LIVING ..( network marketing)
 
Aisee acha tu ... mimi huwa wananitumia text zao messenger "hata kuwajibu huwa siwajibu

Wanashindwa kuuelewa ule msemo wa wahenga " usemao UKIMUONA NYANI MZEE BASI UJUE KAKWEPA MENGI ....

watu tumesharuka viunzi vingi tangu enzi za Yahoo huko ".. za kutumiwa emails na wa Nigeria eti Anajifanya kuwa ni demu ametokea kukutunuku ".. baba Yake alikuwa tajiri blah blah blah kibao ".. so umtumie account number akuingizie mzigo bank"... still watu hatukuweza kutapeliwa mpaka sasa hivi wamekuja na huu ujinga wao wa FOREVER LIVING ..( network marketing)

🤣🤣🤣 mkuu kwel mhenga
 
Kuna jengo flani ndio ninapo tafutia ugali basi hawa jamaa wana ofisi yao floor inayo fata kutoka nilipo, daily nina waona na suti na tai kuwe na jua kuwe na mvua hayo ndio mavazi yao, sasa silaha yao kubwa wanayo tumia ni kujitahidi wapate number yako ya simu aisee ni wasumbufu vibaya mno, ana kuambia ana ingiza zaidi ya million moja kwa siku uki muangalia mtu mwenyewe anaye sema ana ingiza hiyo hela una baki una sema hiiii....!
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nchi nyingi zilizoendelea, ni illegal kufanya biashara kwa njia hii. 'pyramid scheme'.

Sijui hapa hii sheria ipo?

Maana ukiangalia katika Macro scale, huu ni mchezo mchafu mno.

Sijui kwa nini wana-uchumi wa hapa wanafumbia macho hili.
 
Kuna jengo flani ndio ninapo tafutia ugali basi hawa jamaa wana ofisi yao floor inayo fata kutoka nilipo, daily nina waona na suti na tai kuwe na jua kuwe na mvua hayo ndio mavazi yao, sasa silaha yao kubwa wanayo tumia ni kujitahidi wapate number yako ya simu aisee ni wasumbufu vibaya mno, ana kuambia ana ingiza zaidi ya million moja kwa siku uki muangalia mtu mwenyewe anaye sema ana ingiza hiyo hela una baki una sema hiiii....!

😀😀😀😀
 
Mkuu nimecheka sana nilivyomaliza kusoma uzi huu,kuna boya flani alinipeleka bila kujua mara tukaingia kwenye ukumbi sijui walikuwa na semina ,
Wanavyocalculate mambo ya hela ukiwa na kichwa cha panzi asee utasema kesho tu nikilala naamka tajiri dadeki njoo kwenye uhalisia sasa,

Eti kapafyumu kadoncho kinyama kanauzwa elfu 15 dadeki nani anunue kwa usawa huu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Akiamungu
 
Hizo kampuni na wanachama wake ukiwaangalia hawafanani na figures wanazozitaja. Tatizo vijana siku hizi tunataka kitonga sana ndo maana tunapigwa kipumbavu pumbavu. Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kubali huo ujinga. Life ain't that easy!
 
Kuna demu mmoja mzuri aliniomba urafiki fb ,nilivomkubalia siku ya tatu anaomba namba yangu kuwa anashida na Mimi,,mi nikajua nmepata kitonga,Mara naona ananiunga kwenye magrupu yao huko ,,,daaah,nilikereka sana na kujitoa hapohapo
 
Back
Top Bottom