Kuna jengo flani ndio ninapo tafutia ugali basi hawa jamaa wana ofisi yao floor inayo fata kutoka nilipo, daily nina waona na suti na tai kuwe na jua kuwe na mvua hayo ndio mavazi yao, sasa silaha yao kubwa wanayo tumia ni kujitahidi wapate number yako ya simu aisee ni wasumbufu vibaya mno, ana kuambia ana ingiza zaidi ya million moja kwa siku uki muangalia mtu mwenyewe anaye sema ana ingiza hiyo hela una baki una sema hiiii....!
Mkuu nilishawahi fanya kazi kwenye kampuni moja hivi ya kusambaza vyombo,yaani nilifanya kazi mwezi mzima nakuja kuambia kwenye akaunti yangu nina 2300,mbona niliondoka na vyombo vyenyewe
HahaaaMkuu nilishawahi fanya kazi kwenye kampuni moja hivi ya kusambaza vyombo,yaani nilifanya kazi mwezi mzima nakuja kuambia kwenye akaunti yangu nina 2300,mbona niliondoka na vyombo vyenyewe
Hahaaa
Nayo ni biashara kama biashara zingine tu; wako waliofanikiwa na wako ambao hawajafanikiwa, inategemea tu....
PUMBAVU ZAO HAO KAMPUNIMkuu nilishawahi fanya kazi kwenye kampuni moja hivi ya kusambaza vyombo,yaani nilifanya kazi mwezi mzima nakuja kuambia kwenye akaunti yangu nina 2300,mbona niliondoka na vyombo vyenyewe
Mi kuna demu wa NIT Nilikuwa namfukuzia! Kabla sijampata akanambia eti anipeleke kwenye Seminar MAKUMBUSHO, Mi nakutaka wewe na sio seminar! Kilichofata nimekosa VYOTE! K nimekosa na Ubilionea pia nimekosa!
Ahhh wap, hakuna pesa ya kirahisi hivyo. Mafanikio ya hao jamaa huwa ni idealistic tuu.
Nataka nijue kwa nini kila anayekuaika anasema uende makumbusho? He makumbusho kuna nini? Na kwa nini isiwe sehemu nyingine? Anayejua anisidie
Hao watu ni wahujumu uchumi kabisa.. I hate hizo mambo kabisa
Akili zao huwa kama wale vijana wa lumumba, yani misukule kabisa
Mkuu nilishawahi fanya kazi kwenye kampuni moja hivi ya kusambaza vyombo,yaani nilifanya kazi mwezi mzima nakuja kuambia kwenye akaunti yangu nina 2300,mbona niliondoka na vyombo vyenyewe
Unawaibia hao wapumbavu mnaowadanganya wapande hela (DECI in red color)Tatizo nyie wabongo wengi wenu wavivu. Mimi nmeacha kazi ya uhasibu. Nina miaka mitatu huku forever living. Maisha nmeyapatia sio kidogo kupitia FL. Ukizungumzia mihela naipata kama yooote.