Hawa waliotuletea network marketing wanatumalizia vijana wetu ari yakutafta pesa

Hawa waliotuletea network marketing wanatumalizia vijana wetu ari yakutafta pesa

Kuna jengo flani ndio ninapo tafutia ugali basi hawa jamaa wana ofisi yao floor inayo fata kutoka nilipo, daily nina waona na suti na tai kuwe na jua kuwe na mvua hayo ndio mavazi yao, sasa silaha yao kubwa wanayo tumia ni kujitahidi wapate number yako ya simu aisee ni wasumbufu vibaya mno, ana kuambia ana ingiza zaidi ya million moja kwa siku uki muangalia mtu mwenyewe anaye sema ana ingiza hiyo hela una baki una sema hiiii....!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahhh wap, hakuna pesa ya kirahisi hivyo. Mafanikio ya hao jamaa huwa ni idealistic tuu.
Nayo ni biashara kama biashara zingine tu; wako waliofanikiwa na wako ambao hawajafanikiwa, inategemea tu....
 
Mkuu nilishawahi fanya kazi kwenye kampuni moja hivi ya kusambaza vyombo,yaani nilifanya kazi mwezi mzima nakuja kuambia kwenye akaunti yangu nina 2300,mbona niliondoka na vyombo vyenyewe
PUMBAVU ZAO HAO KAMPUNI
 
Mi kuna demu wa NIT Nilikuwa namfukuzia! Kabla sijampata akanambia eti anipeleke kwenye Seminar MAKUMBUSHO, Mi nakutaka wewe na sio seminar! Kilichofata nimekosa VYOTE! K nimekosa na Ubilionea pia nimekosa!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila we jamaa umenivunja mbavu,c ungechagua ata ubilionea mkuu il usikose vyote
 
Katika kila maisha lazima kuwe na mizania isiyo sawa...

Lazima awepo wa kutawala na kutawaliwa...
 
Mkuu nilishawahi fanya kazi kwenye kampuni moja hivi ya kusambaza vyombo,yaani nilifanya kazi mwezi mzima nakuja kuambia kwenye akaunti yangu nina 2300,mbona niliondoka na vyombo vyenyewe

Mkuu ni elfu ishirini na tatu au elfu mbili mia tatu..??

Ungeondoka na kampuni kabisa aiseee sio kwa mshahara huo
 
Tatizo nyie wabongo wengi wenu wavivu. Mimi nmeacha kazi ya uhasibu. Nina miaka mitatu huku forever living. Maisha nmeyapatia sio kidogo kupitia FL. Ukizungumzia mihela naipata kama yooote.
 
Back
Top Bottom