Hawa waliotuletea network marketing wanatumalizia vijana wetu ari yakutafta pesa

Mkuu Kwani wanalazimishwa?
 
Tatizo nyie wabongo wengi wenu wavivu. Mimi nmeacha kazi ya uhasibu. Nina miaka mitatu huku forever living. Maisha nmeyapatia sio kidogo kupitia FL. Ukizungumzia mihela naipata kama yooote.
Mmmh sidhani,FL??
 
Unawaibia hao wapumbavu mnaowadanganya wapande hela (DECI in red color)
Mimi nipo Forever Living. Huku trip za kuzunguka dunia na viunga vyake zmejaa kama zote. Mapesa ndio usiseme. Ni mwendo wa kubadili ma dolar tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuongeze imani yetu bwana... We bwana hujawahi kuwa muhasibuu
Tatizo nyie wabongo wengi wenu wavivu. Mimi nmeacha kazi ya uhasibu. Nina miaka mitatu huku forever living. Maisha nmeyapatia sio kidogo kupitia FL. Ukizungumzia mihela naipata kama yooote.
 
Upo sahihi. Kuna classes. Hao unaoona hawana mbele wala nyuma. Kontena lao la utajiri bado halijafika
[emoji23][emoji23][emoji23] kontena LA utajiri tena.. HV kama inalipa serikali ya kula rambirambi si ingeinvest huko na kutaka kila MTU awe memba ipate pesa za bure
 
Kuna mmoja dada mkenya nilijuaba naye kwenye magroup ya whatsap nae yuko na iyo mambo kila siku profile na status ni picha za success motivation na izo za wanachama wavaa suti...Yangu macho tu ila wanachezewa kiakili kimahesabu na kisaikolojia.....kifupi kula kwa wanapata toka kwa mteja mpya nae atakula toka kwa mpya mwingine.
 
Mkuu nilishawahi fanya kazi kwenye kampuni moja hivi ya kusambaza vyombo,yaani nilifanya kazi mwezi mzima nakuja kuambia kwenye akaunti yangu nina 2300,mbona niliondoka na vyombo vyenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huku Uzi sio mahala pake.
 
MIMI NIKAWA NAJIULIZA...HIVI MTU SIMJUI HANIJUI...ANASHARE NA MIMI UTAJIRI...

HATA SIKU MOJA HUWEZI MUONA BAKHRESA ANAITA WATU AWAPE DILI LA HELA...LEO MPUMBAVU MMOJA ANIITE MAKUMBUSHO KUNIPA MCHORO WA PESA AMBAO HATA YEYE HAUWEZI...UJIINGA...
 
Ndo apo ss
 
Tatizo nyie wabongo wengi wenu wavivu. Mimi nmeacha kazi ya uhasibu. Nina miaka mitatu huku forever living. Maisha nmeyapatia sio kidogo kupitia FL. Ukizungumzia mihela naipata kama yooote.
Acheni kutapeli vijana wenzenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…