Nimekaa sehem maeneo ya Makumbusho nawaona vijana wakienda na kurud huku wamevalia suti ( emergin dasalam palivyo najoto saiz) nikajikuta namkumbuka rafk yangu mmoja ambae alitumia nguvu nying sana kunishawish kujiunga na hawa Alliance ila juhud ziligonga mwamba.
Kimsing vijana wengi wanabweteka saiz kwa jina la network marketing,kijana kavaa suti yakuunga unga huku ata chakula cha mchana hana uhakika wakula.
Serikali iingilie kati aya mambo jaman vijana wanapotea,wanashindwa kujituma kwenye kazi au biashara zenye tija badala yake wanakaa kusumbua ndugu,jamaa na marafik wajiunge na biashara ambayo wameambiwa baada ya muda wanakua ma-bilionea