Hawa waliotuletea network marketing wanatumalizia vijana wetu ari yakutafta pesa

Hawa waliotuletea network marketing wanatumalizia vijana wetu ari yakutafta pesa

Hawa vijana ni wapumbavu sana..namba yangu ya simu wameitapanya kwa kila boss wao wa network marketing mpaka nje ya nchi.

Wapuuzi hushindana kunikaribisha kuhudhilulia seminars zao ,

Kuwakomesha huwa nawaomba sh 150,000 kama nauli na gharama ndogo ndogo ili nifike ofisini kwao kwa sababu najua hawana hata 10,000.
Umenipa ujanja mpya ,safari hii nikialikwa na rafiki yangu ninayemjua nitaenda kwenye seminar na nitahudhuria zote kwa moyo mmoja.Na akisema hela ya kiingilio nitakubali kuwa nafanya mchakato nitatoa.Ila kabla sijatoa nitamstukiza kuwa nimepata shida ya ghafla na Sina mtu wa kuisolve yeye ndo mtu wa jirani anaweza nisaidia.Nitaomba anikopeshe fasta fasta laki tano.Nitamrudishia within short time.Nitarudisha pamoja a hela ya kujiungia huko.Nione kama atapata hiyo tano fasta fasta.Akinipa napotea Nayo namwambia ndugu yangu nitakulipa.
 
Hawa jamaa wana fake life style atare na picha za kuedit atare, nakuta watu na visut vya kukodi kuangalia picha zake kwenye simu ya techno ya laki nakuta ndo hiyo hiyo suti nikachoka na kuchoka.

Nilipo fatilia Alliance chimbuko lake ndo nikapata jibu ni kwa nn wamepewa leseni tanzania ya biashara.

Alliance, fore ver living zote ni kampuni za usambazaji virutubisho vya binadamu ( Suplement fact) ambazo kazi zake ni kuinua afya ya binadam sio kifedha ( health standard of people) kiafya na kuuza hizo bidhaaa.

Wale wa povuu ni ivi, mfano kuna nchi ambazo hawapati Balance diet exmple ( somalia, syria, afganstan) huwa wanapewa vile vidonge ambavyo ni lishe bora wanakula wasiugue utapia mro.

Ukingia kichwa Alliance unauziwa bidhaa yao na rist juu ya TRA ya mashine ya EFD juuu harafu unambiwa utapewa mamilion ya kwenye ndoto
 
🤣🤣🤣 duuh aisee vijana wameisha
 
Hakuna utajiri kupitia network marketing
Kwa hapa bongo wanashabikia International network marketing watu waliokosa dira ya maisha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] duuh aisee vijana wameisha
Ni hatare nilisha hudhuria mkutano wao mmoja nashangaaa naonyeshwa picha za edit tupu nikaanza kuwabishia nakuta wamejaza watoto wa chuo ambao wanaanza kutumia simu
 
Nimekaa sehem maeneo ya Makumbusho nawaona vijana wakienda na kurud huku wamevalia suti ( emergin dasalam palivyo najoto saiz) nikajikuta namkumbuka rafk yangu mmoja ambae alitumia nguvu nying sana kunishawish kujiunga na hawa Alliance ila juhud ziligonga mwamba.

Kimsing vijana wengi wanabweteka saiz kwa jina la network marketing,kijana kavaa suti yakuunga unga huku ata chakula cha mchana hana uhakika wakula.

Serikali iingilie kati aya mambo jaman vijana wanapotea,wanashindwa kujituma kwenye kazi au biashara zenye tija badala yake wanakaa kusumbua ndugu,jamaa na marafik wajiunge na biashara ambayo wameambiwa baada ya muda wanakua ma-bilionea
Mkuu mimi hizo network marketing sitaki kusikia kabisa,kwa ufupi sina hamu nazo nilisumbuliwa sana na demu wangu akinishauri anaomba mtaji ajiunge, nikaona isiwe tabu kugombana nakumbuka alianza na forever living nilimpatia laki 7 akajiunga nao forever living 2013 hiyo ilikua akawa busy kweli moyoni nikasema japo amepata kitu cha kumuweka busy sasa hizo appointment na wateja wake akawa anatumia hela nyingi kuliko kuingiza nikamuuliza mbona sioni faida akawa mkali ila baadae akaja niambia aisehhh biashara ngumu akachana nayo,juzi juzi tena akataka ajiunge na Alliance akaomba mtaji wa laki 5 nikampa hana hata mwezi kashaanza kulalamika ugumu wa hiyo biashara kweli vijana wanapoteza muelekeo na nguvu za uwekezaji wakiwa na ndoto za kufanikiwa haraka shortcut akijisahau muda nao sio rafiki akistuka anaona maisha yamempiga na hapo wanakata tamaa
 
Mbona sijawahi kukutana nao?? Au wanaangalia na mtu wa kumpigisha saund??
Sshivi hawana kasi sana kama miaka ya nyuma sahivi vyuma vimekaza akitaka kukutoa hela mfukoni kwanza lazima akuchanganye akili ni biashara za hovyo sana
 
Nimekaa sehem maeneo ya Makumbusho nawaona vijana wakienda na kurud huku wamevalia suti ( emergin dasalam palivyo najoto saiz) nikajikuta namkumbuka rafk yangu mmoja ambae alitumia nguvu nying sana kunishawish kujiunga na hawa Alliance ila juhud ziligonga mwamba.

Kimsing vijana wengi wanabweteka saiz kwa jina la network marketing,kijana kavaa suti yakuunga unga huku ata chakula cha mchana hana uhakika wakula.

Serikali iingilie kati aya mambo jaman vijana wanapotea,wanashindwa kujituma kwenye kazi au biashara zenye tija badala yake wanakaa kusumbua ndugu,jamaa na marafik wajiunge na biashara ambayo wameambiwa baada ya muda wanakua ma-bilionea
Hizi biashara za network market ndio utapeli wenyewe wa kisasa.......

Sababu unanunulishwa kitu kwa lugha za uongo ili wakutapeli pesa yako.....mwisho wa siku hilo likitu hauna shida nalo na wala haukuwa na uwezo wa kulinunua....

Hapa serikali wasilete ufala kwa kusema watu waache.....kama waliweza kufungia DECI haya makampuni yanawashinda nini makalio yao......wanaboa balaa
 
Back
Top Bottom