Tuu philbert
New Member
- Sep 1, 2018
- 3
- 0
๐๐๐๐๐kuna ndugu yangu mmoja huwa ananitoa machozi kwa huo ujinga,asikii wala haelewi mwaka wa pili sasa kawa kama msukule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐kuna ndugu yangu mmoja huwa ananitoa machozi kwa huo ujinga,asikii wala haelewi mwaka wa pili sasa kawa kama msukule.
๐๐Umenimaliza kwa chekoMkuu nilishawahi fanya kazi kwenye kampuni moja hivi ya kusambaza vyombo,yaani nilifanya kazi mwezi mzima nakuja kuambia kwenye akaunti yangu nina 2300,mbona niliondoka na vyombo vyenyewe
safi sana. Uliplay smart! Kuna mshkaji nilimnusuru asimchinje GF wake, Kisa GF kapeleka 5m Qnet! Alitaka kumkata shingo! Heri yako ulimchapa kelbu huyo dogo!Qnet walimteka mdogo wangu na maneno mazuri anakuja na habari za million tano saa uzuri kuna nyuzi nilisoma humu nikamzaba makofi mbele ya mama ake akili ipo sawa