Hawa wameanza lini kampeni dhidi ya Corona ?

Wanafiki waliokua wanamtukuza Marehemu hivi sasa wamepoteana na kuchanganyana. Hawajui bendi yao ya mapambio inaelekea wapi, kama ndio bendi imevunjwa au wanaingia ubeti wa pili.

Ila katika hio bendi kuna msanii mmoja nimemkubali sana, yupo very sharp kwenda na beat, muimba chorus maarufu pasko. Jana katoka kusema anaamini Mama Samia ataipeleka mbele nchi zaidi kuliko Marehemu.

Na yule bwana fulani alieanzisha Week Ya Nyungu, mara paap ndio akawa wa kwanza kuvaa barakoa kwenye msiba.
 
Duuuuuu msikitiii tenaaaa
Si kweli hata angekuwa muislam hakuna kitu kinaitwa kuanzisha msikiti kwenye uislam ukijenga msikiti utatambulika tu kwamba msikiti fulani umejengwa na fulani lakini si kuumiliki km wanavyomiliki makanisa kila uchwao fulani kaanzosha kanisa fulani kaanzisha kanisa hakuna hicho kitu na mfumo wa uendeshaji misikiti ni tofauti kabisa huwezi pata faida ya kifedha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…