Hawa Wanachama wa JF wasiopost chochote wapo kweli?

Acha jungulz wewe
 
Jamani mtafuteni ndugu yangu @K 4 LIFE mwambieni nimemkumbuka sana swaga zake
 
Inawezekana kabisa kuwepo humu bila kupost chochote hata kwa mwaka.Pengine unajua kitu fulani ambacho kinachangiwa mawazo humu.Ukisoma post zinazokutangulia huwezi kabisa kuchangia kitu.Sababu lugha nyingi zinazotumika humu ni za ajabu mno.Matusi na kejeli.
 

Hai...............
 
Tupo kila tukipost tunaambulia matusi tu
 
Mimi ni mmojawapo. (Aibu). Niko hapa toka 2013. Maajabu. Heri ya mwaka mpya jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…