Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu @Mmawia mbona yuko bize sana humu, ktk jukwaa la siasa, yeye bado anampigia kampeni lowassaa!Kuna members wengi humu jf tangu uingie mwaka 2015 sijaona wakichangia wala kutoa Post ya habari yoyote ile, sasa hapo ndipo ninapojiuliza kuwa hawa members bado wapo hai Au tayari wameshatangulia mbele ya Haki!!!!!??
Basi tukielekea kuumaliza mwaka wa 2015 na kuingia mwaka mpya wa 2016 ni vizuri kila mmoja wetu aka-comment neno "Hai" ili kujua kama bado tupo wote au kuna wale waliotangulia mbele ya Haki.
Mpe taarifa member mwenzio aje hapa aweke Comment.
Mimi nawapa taarifa wafuatao, #Cnjona, #bantulady #mmawia.

Avatar yako kiboko!
Unalipa upande wa reception, vipi the future behind nako shwari?frola=flora
Mkuu ukiangalia hiyo sura yangu hapo kwenye avatar nafanania huyo jamaa uliyemtaja?!
unanitamanisha @Floramsoffeyaani MI NakeshA JF hata Nikiwa katikati ya gegedo nikiikumbuka JF moto unakata
Mbunge wangu ni Mheshimiwa Esther BulayaNa mbunge wako ni nani!!!!
Au Rashid Chuachua!!!!!!