Hawa wanafaa kuandaliwa kwa ajili ya Urais 2040, siyo dhambi tuwajenge tufaidike

Nimefatilia kwa upana, sana uwezo wako wa mambo nikangundua unajitafutia umaarufu.
Anyway nchi hii haitaji aina ya watu waliopo kwenye mfumo kuibadili, bali inaitaji vijana. Ambao hawapo kabisa kwenye mfumo tulio nayo kwa sasa,
Ila hao vijana wanafaa kuwa wacheza drama za kisiasa za ccm
 
2030 Rais ni mimi....nitatawala 30yrs na katika utawala wangu wapumbavu wengi sana watakufa na wazalendo wachache watafia kwenye ujenzi wa nchi....

Hakutakuwa na Demokrasi kwa mpumbavu, watu watafanya kazi kwa bidii na maarifa mengi kuijenga nchi kwa manufaa ya vizazi vijacho..
 
CCM tunaenda na Bashite. Hao wengine hatuwatambui hata kidogo.
 
Rais Ni John pombe na j nyerere Basi hai wengine miyeyusho tu.labda kwa aweso sawa nakubaliana nawe
 
Pa Mrisho Gambo weka askofu Masanja Mkandamizaji kwani ameonesha uwezo wa kutafuta pesa.
 
Ondoa hapo hivo vituko vitatu
1.Nikki
2.Bashungwa
3.Gambo.
 
Nikki anajifanyia promo ndugu ,hiyo ni ID yake , kuwa mkuu wa wilaya hata mwaka haujaisha anawaza Urais
 
Hivi bado mnaamini katika kuongozwa na wazee?

Kwangu mimi HAPANA, miaka 30 -40 inatosha sana kwa mtu wa kaliba ya uongozi.
 
Kwa hiyo upande wa pili hakuna Presidential material...???
Ni kitu gani kimekuaminisha CCM itaendelea kuwa madarakani..???
Nini matarajio yako ya Tume huru ya uchaguzi na Katiba mpya....???
Hivyo vikiwepo,CCM itashinda hizo chaguzi..??
Kama una amini CCM itashinda,then kwa nini haohao CCM hawataki katiba mpya na tume huru...???
Is Mbowe aka Mwamba not a right person to succeed Her Excellence Mama Samia....???
Nisamehe kama nimekukwaza



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
toa hizi taka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…