Immortan joe
Senior Member
- Nov 7, 2021
- 162
- 190
Hahaha!!! Aiceee inabid aitikie tu SAWA SAWA, Huyu mwamba countrywide anamkubali sana nick wa piliSISI TUMEKUANDAA WEWE SIO HAWA......SAWA SAWA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha!!! Aiceee inabid aitikie tu SAWA SAWA, Huyu mwamba countrywide anamkubali sana nick wa piliSISI TUMEKUANDAA WEWE SIO HAWA......SAWA SAWA?
Moja ya sababu kubwa ya nchi nyingi kutoendelea ni kutoandaa viongozi kwa ajili ya vizazi vijavyo na vijavyo.
Leo Mimi countrywide msomi ninatoa maoni yangu kuhusu kuandaa watu Hawa kwa ajili ya uraisi 2040.
Ningeweza kusema 2030 lakini naona ni karibu sana kiasi ambacho itakua sio Tena maandalizi bali mkurupuko.
Hawa wanafaa, tuwajenge tuwaunge mkono;
1) Nickson Simon (Nikki wa Pili)
- Kama wengi wanavyomuita genius, ndivyo ambavyo uhalisia ulivyo. Nikki ana uwezo mkubwa wa akili na anapaswa kuandaliwa kwa ajili ya uraisi 2040. Ni aina ya kijana ambae amezaliwa kioungozi.
Ni msomi, mcha Mungu, muadilifu, mnyenyekevu, msikivu, mkali kwa wazembe. Hakika wakati ni sasa kumuandaa.
2) Innocent Bashungwa
- Jina hili linapaswa kuwemo kwenye orodha ha viongozi wakubwa baadae. Na itakuwa vyema akiandaliwa kuja kuwa raisi wa baadae. Mapungufu yapo Ila anaweza kuandaliwa vizuri na kuyaondoa hayo mapungufu.
3) Juma Aweso
- nashauri akae kwenye nafasi ya uwaziri kwa muda mrefu ili apate zaidi uzoefu baadae atatufaa Sana. Najua ana mapungufu yake Ila system inaweza kumjenga na kuyaondoa.
Ana future nzuri Sana
4) Mashaka mrisho Gambo
- huyu amejipambanua kuwa ni mmoja wa vijana hodari na wenye kaliba ya uongozi.
Ana mapungufu yake Ila yanaweza kurekebishwa na kuja kuwa raisi na hakika tunaweza fika mbali.
5) Anthony Mavunde
- mbunge wa Sasa wa Dodoma ni moja ya watu potential sana miaka ya baadae na akiandaliwa mapema atakuja kuwa kiongozi mzuri sana na mkubwa nchini.
Hao wote Hadi kufika 2040 watakuwa na umri ww miaka 55-60, hivyo utakua wakati muafaka Sana kwao kuwa maraisi. Lakini ninaomba waandaliwe sasa.
View attachment 2007779View attachment 2007780View attachment 2007781View attachment 2007782View attachment 2007783
Naona Urais wa Tanzania hivi sasa unachukuliwa kama shamba la bibi...Maoni yako yaheshimiwe ila hakuna presidential material hapo labda wapigaji na wauza nchi na raia wake.
Yaani Tanzania ya baadae itakuwa ya hovyo såna, kama hao Walamba viatu ndio wanaonekana watakuwa Marais duhMoja ya sababu kubwa ya nchi nyingi kutoendelea ni kutoandaa viongozi kwa ajili ya vizazi vijavyo na vijavyo.
Leo Mimi countrywide msomi ninatoa maoni yangu kuhusu kuandaa watu Hawa kwa ajili ya uraisi 2040.
Ningeweza kusema 2030 lakini naona ni karibu sana kiasi ambacho itakua sio Tena maandalizi bali mkurupuko.
Hawa wanafaa, tuwajenge tuwaunge mkono;
1) Nickson Simon (Nikki wa Pili)
- Kama wengi wanavyomuita genius, ndivyo ambavyo uhalisia ulivyo. Nikki ana uwezo mkubwa wa akili na anapaswa kuandaliwa kwa ajili ya uraisi 2040. Ni aina ya kijana ambae amezaliwa kioungozi.
Ni msomi, mcha Mungu, muadilifu, mnyenyekevu, msikivu, mkali kwa wazembe. Hakika wakati ni sasa kumuandaa.
2) Innocent Bashungwa
- Jina hili linapaswa kuwemo kwenye orodha ha viongozi wakubwa baadae. Na itakuwa vyema akiandaliwa kuja kuwa raisi wa baadae. Mapungufu yapo Ila anaweza kuandaliwa vizuri na kuyaondoa hayo mapungufu.
3) Juma Aweso
- nashauri akae kwenye nafasi ya uwaziri kwa muda mrefu ili apate zaidi uzoefu baadae atatufaa Sana. Najua ana mapungufu yake Ila system inaweza kumjenga na kuyaondoa.
Ana future nzuri Sana
4) Mashaka mrisho Gambo
- huyu amejipambanua kuwa ni mmoja wa vijana hodari na wenye kaliba ya uongozi.
Ana mapungufu yake Ila yanaweza kurekebishwa na kuja kuwa raisi na hakika tunaweza fika mbali.
5) Anthony Mavunde
- mbunge wa Sasa wa Dodoma ni moja ya watu potential sana miaka ya baadae na akiandaliwa mapema atakuja kuwa kiongozi mzuri sana na mkubwa nchini.
Hao wote Hadi kufika 2040 watakuwa na umri ww miaka 55-60, hivyo utakua wakati muafaka Sana kwao kuwa maraisi. Lakini ninaomba waandaliwe sasa.
View attachment 2007779View attachment 2007780View attachment 2007781View attachment 2007782View attachment 2007783
Jua kwanza Mwigulu sio Mkatoliki kwahiyo X. Gambo ni X anaonekana mwenye wasiwasi muda wote anategemea ushirikinaHapo pa Mrisho Gambo nakukubalia
2030 namuona Mwigulu Nchemba akiingia Ikulu
Aweso huyo anachoweza ni kusaka vyura Ruvu Tu. Hana akili hata kidogo na sio mbunifuUngeniambia Awesso ningekuelewa
Watu wanautaka kwa madhumuni ya kuvuna tu na si kulifanya taifa lipige hatua katika nyanja zote za maendeleo kwa watu na nchi kwa ujumla.Naona Urais wa Tanzania hivi sasa unachukuliwa kama shamba la bibi...