Hawa wanafaa kuandaliwa kwa ajili ya Urais 2040, siyo dhambi tuwajenge tufaidike

Wewe utakuwa mmoja kati ya hao uliowataja
 
Umetumia vigezo gani kwanza kuwapick how individuals. Maana me ninavyoona hawana sifa za kuwa hata wenye viti wa serikali za vijiji.

Hakuna viongozi hapo. Kuna washabiki wa siasa. Kijana kama nikki anaimba hiphop/Rap na anajua ukweli wa maisha. Uroho wake unamfanya kujiunga na mafisi CCM hapo tayari anakosa sifa.
 
Ndomana tz hatuendelei...Mtu unakaa unawaza urais wa 2040 kweli??
 
Mawazo haya pigwi rungu!! hayoo!! mabongo flever wako ndo walivo kudanganya??? na wewe ulivo zoba bila kuhoji uhalali wa kuwa Dalali! ukalibeba ivoivo ukalileta humu!! ....... usirudie tena unasikia dogo??
 
Niki unajipigia debe basi n vizuri lakini hapo kwenye hiyo orodha labda Anton Mavunde kidogo lakini mliobaki sifa hamna tofauti na kubebwa.Shikikieni mbeleko vizuri kwa maana muda sio mrefu inatoboka.
 
Nick wa pili, naona umeanza kujipigia promo mapema kabla ya kumaliza hata miaka miwili kwenye ukuu wa wilaya.

Ila hapo kwenye jumaa aweso umepatia, jamaa linapenda kazi kama magufuli hapo nimemwona magufuli mwingine.
Huyu Niki Huwa anaulimbukeni mwingi Sana .Kisa masters Kila siku kijiita msomi . Masters yenyewe ni ya Sanaa.Niki usijipandishe Sana tulia fanya kazi kwa kufata sheria ukileta matokeo mazuri kwenye utendaji utaonekana tu .
 
Naona Nikki wa pili ulivyo mtu wa ajabu umeanzisha uzi alafu katika list umejiweka wa kwanza.....
Unachekesha sana....jiandae mwenyewe
Haya rahisi wa 2040....
Ana uwezo mdogo Sana na amshukulu Mstaafu Kikwete kumuombea kwa Rais Samia ndo kupata hiyo nafasi.Atulie afanye kazi alete matokeo chanya apunguze kijikweza.
 
Ungetaja Hampley polepole ningekuelewa kidogo
 
Trust me ukiwa bado unaishi ama utaambiwa na.wajukuu zako mbele za haki, ni.hivi hapo hakuna rais wa 2040 na dynamics ni nyingi hutaamini. Asante

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Inocent bushungwa anaonekana anavuta sigara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…