Mnanguliti
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 490
- 1,351
Unafikiri kwasasa wameisha au unadhani mzee Kibao aliteswa na kisha kuuawa wakati wa Magu, Sativa kateswa nankuponea chupuchupu kuuawa au kuliwa na wanyama wakali hifadhini ulikuwa wakati wa Magu, akina Soka, Abdul, Mbise na kadhalika wametekwa wakati wa Magu, Bonge wa dasilam isingekuwa mapana yake kumwokoa ilikuwa ni wakati wa JPM, wapinzani waliouawa kikatili wengine mbele za familia zao wakati wa ichaguzi wa serikali za mitaa waliuawa wakati wa JPM.Inasikitisha sana, inatukumbusha Wasiojulikana wa Awamu ya Magufuli.
Basi nadhani tuna haki ya kudhania Samia kamweka Magu msukule ili aendelee kumtumikia au ampe cheo kikubwa cha wasiojulikana ili aendelee kuteka, kutesa na ikiwezekana kuua.