[emoji23]hhahhahahaahhahah
Aisee!Mimi sijamuona Letrisha
hahaha, nimeomba mods wanisaidie kuhariri heading,ahhahahahahaUna siku kitambo...
Nilimuona kwenye uzi flani ivi kiranga yupo kama ndyo uyo uliyemtaja mbona amekuwa mjinga ivyo?[emoji23]
Kiranga si Al-Watan, ni kaka yangu.
Kiranga na Al-Watan ni watu wawili tofauti waliolelewa nyumba moja, labda ndiyo maana wengi wanatuchanganya.Nilimuona kwenye uzi flani ivi kiranga yupo kama ndyo uyo uliyemtaja mbona amekuwa mjinga ivyo?[emoji23]
Ahsante kwa ufafanuzi ndugu yanguKiranga si Al-Watan, ni kaka yangu.
Kwa sasa yupo Surabaya anaendesha mradi wake.
Anaingia hapa mara moja moja kukiwa na habari kubwa.
Mara ya mwisho alikuwa anachangia hapa
Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Duh inawezekana maana naona kwa hoja wanafanana fanana
Huoni kama umeandika vitu vya ajabuKiranga na Al-Watan ni watu wawili tofauti waliolelewa nyumba moja, labda ndiyo maana wengi wanatuchanganya.
Na la nyongeza, Al-Watan hatafuti kupendwa na mtu yeyote wala haogopi kuchukiwa na guluguja yeyote asiye na uti wa mgongo wala ubongo.
Naandika ninavyojisikia mimi tu. Hicho ndicho muhimu kwangu.
Duh inawezekana maana naona kwa hoja wanafanana fanana
Kiranga na Al-Watan ni watu wawili tofauti waliolelewa nyumba moja, labda ndiyo maana wengi wanatuchanganya.
Na la nyongeza, Al-Watan hatafuti kupendwa na mtu yeyote hapa wala haogopi kuchukiwa na guluguja yeyote asiye na uti wa mgongo wala ubongo hapa.
Naandika ninavyojisikia mimi tu. Hicho ndicho muhimu kwangu.
Na wewe hujakatazwa kusema lako, ila uweze kulisimamia tu, kwa facts.
Wewe usiyejua tofauti ya "ivyo" na "hivyo" huna ruhusa ya kusema ujinga wa wengine.
Hujui hata spelling za Kiswahili, seuze habari za nini ni ujinga na nini ni werevu.
Kiranga si Al-Watan, ni kaka yangu.
Kwa sasa yupo Surabaya anaendesha mradi wake.
Anaingia hapa mara moja moja kukiwa na habari kubwa.
Mara ya mwisho alikuwa anachangia hapa
Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Wewe nawe ni guluguja usiye na ubongo wala uti wa mgongo, ndiyo maana hujaelewa.Huoni kama umeandika vitu vya ajabu
Kuchukiwa ni kitendo kinachofanywa na mtu aliye hai Mkuu.
Sasa mtu ambaye hana uti wa mgongo na ubongo atakuwa hai?
Huoni kama umeandika ujinga Mkubwa mno hapo?
Asante mkuu kwa ufafanuzi nimekupata sawia[emoji23]Kiranga na Al-Watan ni watu wawili tofauti waliolelewa nyumba moja, labda ndiyo maana wengi wanatuchanganya.
Na la nyongeza, Al-Watan hatafuti kupendwa na mtu yeyote hapa wala haogopi kuchukiwa na guluguja yeyote asiye na uti wa mgongo wala ubongo hapa.
Naandika ninavyojisikia mimi tu. Hicho ndicho muhimu kwangu.
Na wewe hujakatazwa kusema lako, ila uweze kulisimamia tu, kwa facts.
Wewe usiyejua tofauti ya "ivyo" na "hivyo" huna ruhusa ya kusema ujinga wa wengine.
Hujui hata spelling za Kiswahili, seuze habari za nini ni ujinga na nini ni werevu.
Usiniambie jamaa kaokoka!!!! Dah alikua anapinga sana ishu za Mungu. Kama ni kweli basi hii ni nomaYupo sema sikuiz kapunguza ubishi ameokoka
Kama sina uti wa mgongo na ubongo ningekuwepo hapa?Wewe nawe ni guluguja usiye na ubongo wala uti wa mgongo, ndiyo maana hujaelewa.