Hawa wanaJF sina siku kitambo siwaoni hapa jukwaani

Nilimuona kwenye uzi flani ivi kiranga yupo kama ndyo uyo uliyemtaja mbona amekuwa mjinga ivyo?[emoji23]
Kiranga na Al-Watan ni watu wawili tofauti waliolelewa nyumba moja, labda ndiyo maana wengi wanatuchanganya.

Na la nyongeza, Al-Watan hatafuti kupendwa na mtu yeyote hapa wala haogopi kuchukiwa na guluguja yeyote asiye na uti wa mgongo wala ubongo hapa.

Naandika ninavyojisikia mimi tu. Hicho ndicho muhimu kwangu.

Na wewe hujakatazwa kusema lako, ila uweze kulisimamia tu, kwa facts.

Wewe usiyejua tofauti ya "ivyo" na "hivyo" huna ruhusa ya kusema ujinga wa wengine.

Hujui hata spelling za Kiswahili, seuze habari za nini ni ujinga na nini ni werevu.
 
Na la nyongeza, Al-Watan hatafuti kupendwa na mtu yeyote wala haogopi kuchukiwa na guluguja yeyote asiye na uti wa mgongo wala ubongo.

Naandika ninavyojisikia mimi tu. Hicho ndicho muhimu kwangu.
Huoni kama umeandika vitu vya ajabu
Kuchukiwa ni kitendo kinachofanywa na mtu aliye hai Mkuu.

Sasa mtu ambaye hana uti wa mgongo na ubongo atakuwa hai?

Huoni kama umeandika ujinga Mkubwa mno hapo?
 
Duh inawezekana maana naona kwa hoja wanafanana fanana
Kiranga na Al-Watan ni watu wawili tofauti waliolelewa nyumba moja, labda ndiyo maana wengi wanatuchanganya.

Na la nyongeza, Al-Watan hatafuti kupendwa na mtu yeyote hapa wala haogopi kuchukiwa na guluguja yeyote asiye na uti wa mgongo wala ubongo hapa.

Naandika ninavyojisikia mimi tu. Hicho ndicho muhimu kwangu.

Na wewe hujakatazwa kusema lako, ila uweze kulisimamia tu, kwa facts.

Wewe usiyejua tofauti ya "ivyo" na "hivyo" huna ruhusa ya kusema ujinga wa wengine.

Hujui hata spelling za Kiswahili, seuze habari za nini ni ujinga na nini ni werevu.
Kiranga si Al-Watan, ni kaka yangu.

Kwa sasa yupo Surabaya anaendesha mradi wake.

Anaingia hapa mara moja moja kukiwa na habari kubwa.

Mara ya mwisho alikuwa anachangia hapa

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli
 
Huoni kama umeandika vitu vya ajabu
Kuchukiwa ni kitendo kinachofanywa na mtu aliye hai Mkuu.

Sasa mtu ambaye hana uti wa mgongo na ubongo atakuwa hai?

Huoni kama umeandika ujinga Mkubwa mno hapo?
Wewe nawe ni guluguja usiye na ubongo wala uti wa mgongo, ndiyo maana hujaelewa.
 
Kiranga na Al-Watan ni watu wawili tofauti waliolelewa nyumba moja, labda ndiyo maana wengi wanatuchanganya.

Na la nyongeza, Al-Watan hatafuti kupendwa na mtu yeyote hapa wala haogopi kuchukiwa na guluguja yeyote asiye na uti wa mgongo wala ubongo hapa.

Naandika ninavyojisikia mimi tu. Hicho ndicho muhimu kwangu.

Na wewe hujakatazwa kusema lako, ila uweze kulisimamia tu, kwa facts.

Wewe usiyejua tofauti ya "ivyo" na "hivyo" huna ruhusa ya kusema ujinga wa wengine.

Hujui hata spelling za Kiswahili, seuze habari za nini ni ujinga na nini ni werevu.
Asante mkuu kwa ufafanuzi nimekupata sawia[emoji23]
 
Back
Top Bottom