Chikira Mtabari.User name yako ya zamani ni nani?
CHIKIRA MTABARIUser name yako ya zamani ni nani?
Kafichwa na watu wasiojulikana, hahahahaUshmen comrade nani amekuficha????!!!
Nimemmiss kweeeli, mwenyewe ananiita comrade!!!!!Kafichwa na watu wasiojulikana, hahahaha
Nipo darling, nasikia tumevamiwa na watu wasio julikana.sijui kaenda wapi mume wangu Bujibuji
Ze my me is still kweparing the Nissan Patrol
Shemeji umemwacharing wapi?Nipo darling, nasikia tumevamiwa na watu wasio julikana.
Kuvaa t shirt ya jani la bangi ni halali na sawa kabisaaaa, ila kuvaa t shirt ya kuhamasishana kuombea wagonjwa ni kosa kubwa nchini.Tumekopa dola million tano na hatutaki watu wajue.
Kaka ako yuko apiii jaman hivi hushtukiii halaf hiyo avatar huwezi amini nilikutana nayo nikaiscreenshot nije nikutumie kumbe ulikua moyoni mwanguAbee
Uliikuta wapi darling wanguuu....Kaka ako yuko apiii jaman hivi hushtukiii halaf hiyo avatar huwezi amini nilikutana nayo nikaiscreenshot nije nikutumie kumbe ulikua moyoni mwangu
Ebu mtafute ujue ndio mana nikakuita dada nilikutana nayo jana tena huko mitaa ya insta nikiingia jf nikutumie kumbe ulikuwa moyoni mwangu [emoji7][emoji7]Uliikuta wapi darling wanguuu....
Kakangu Sijui yuko wapiii ujue!!! Nammiss kweeeli Ushmen na ile avatar yake
Kamuulize dereva au yule jamaa mwenye kapero kwenye ile Nissan patrol nyeupe atakuwa ansjua5
Unamuulizia nani huyo?Kaka ako yuko apiii jaman hivi hushtukiii halaf hiyo avatar huwezi amini nilikutana nayo nikaiscreenshot nije nikutumie kumbe ulikua moyoni mwangu
Safi mwifwa za wewe pole kwa ban jaman kaka akee sakayo naona katajwa hapa haonekaniUnamuulizia nani huyo?
Habari za siku Shunie
Ahsante sana.Safi mwifwa za wewe pole kwa ban jaman kaka akee sakayo naona katajwa hapa haonekani
hahahaah, kumbe upo mtumishi wa Mungu! Miss Natafuta ndugu yako huyu hapa yupo mzima kabisa kabisa, Mungu ashukuriweZe my me is still kweparing the Nissan Patrol