Hawa wanaJF sina siku kitambo siwaoni hapa jukwaani

Hawa wanaJF sina siku kitambo siwaoni hapa jukwaani

Nipo darling, nasikia tumevamiwa na watu wasio julikana.
Kuvaa t shirt ya jani la bangi ni halali na sawa kabisaaaa, ila kuvaa t shirt ya kuhamasishana kuombea wagonjwa ni kosa kubwa nchini.Tumekopa dola million tano na hatutaki watu wajue.
Shemeji umemwacharing wapi?
 
Kaka ako yuko apiii jaman hivi hushtukiii halaf hiyo avatar huwezi amini nilikutana nayo nikaiscreenshot nije nikutumie kumbe ulikua moyoni mwangu
Uliikuta wapi darling wanguuu....

Kakangu Sijui yuko wapiii ujue!!! Nammiss kweeeli Ushmen na ile avatar yake
 
Uliikuta wapi darling wanguuu....

Kakangu Sijui yuko wapiii ujue!!! Nammiss kweeeli Ushmen na ile avatar yake
Ebu mtafute ujue ndio mana nikakuita dada nilikutana nayo jana tena huko mitaa ya insta nikiingia jf nikutumie kumbe ulikuwa moyoni mwangu [emoji7][emoji7]
 
Back
Top Bottom