Hawa wanaJF sina siku kitambo siwaoni hapa jukwaani

Mkuu siku hizi huwa nachungulia kidogo sana humu baada ya kuchoshwa na tabia za MODs, muda mwingi nakuwa twitter, asante kwa kunikumbuka mkuu.
alaa kumbe! nilikuwa najiuliza umepotelea wapi! Pole sana ila usipotee sana
 
Mkuu siku hizi huwa nachungulia kidogo sana humu baada ya kuchoshwa na tabia za MODs, muda mwingi nakuwa twitter, asante kwa kunikumbuka mkuu.
Nyinyi huko Twitter ndo kina Ole nani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] aiseee hata huku ni pazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…