Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu siku hizi huwa nachungulia kidogo sana humu baada ya kuchoshwa na tabia za MODs, muda mwingi nakuwa twitter, asante kwa kunikumbuka mkuu.
alaa kumbe! nilikuwa najiuliza umepotelea wapi! Pole sana ila usipotee sanaMkuu siku hizi huwa nachungulia kidogo sana humu baada ya kuchoshwa na tabia za MODs, muda mwingi nakuwa twitter, asante kwa kunikumbuka mkuu.
nipo mkuu, sema nimetingwa kidogo, nashukuru kwa kunikumbuka
Bujibuji yupo, ana stress, huwa 'anatukana tukana' tu.
Nyinyi huko Twitter ndo kina Ole nani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] aiseee hata huku ni pazuriMkuu siku hizi huwa nachungulia kidogo sana humu baada ya kuchoshwa na tabia za MODs, muda mwingi nakuwa twitter, asante kwa kunikumbuka mkuu.
Jirani nawe nenda Twitter[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]alaa kumbe! nilikuwa najiuliza umepotelea wapi! Pole sana ila usipotee sana
tusi gani umetukanwa?Bujibuji yupo, ana stress, huwa 'anatukana tukana' tu.
Huko hakuna ban za kipuuziNyinyi huko Twitter ndo kina Ole nani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] aiseee hata huku ni pazuri
hahahhaah, sawa sawaJirani nawe nenda Twitter[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]