- Thread starter
- #41
hahahaahahaahahahhahahah hao ni wastaafu wacheni wawashwe washwe [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaahahaahahahhahahah hao ni wastaafu wacheni wawashwe washwe [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Huna uti wa mgongo wala ubongo ndiyo maana huelewi metaphor ni nini.Kama sina uti wa mgongo na ubongo ningekuwepo hapa?
Acha kutumia ubongo wako hovyo kiasi hicho Mdogo wangu
Poa wewe mwenyenavyo tuliaHuna uti wa mgongo wala ubongo ndiyo maana huelewi metaphor ni nini.
ahahaa alizaa na nani?Bujibuji tangu alvyo zaa nje ya ndoa katulia.
Kweli kbs[emoji23]Vijana ambao wamejiunga jf 2016 na 2017 hawawezi kumjua hata kidogo. Alikua very famous. Nilikua namkubali sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja aje akukamate...ameokoka?Yupo sema sikuiz kapunguza ubishi ameokoka
Kashanikamata Mdogo wake Al-watan[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja aje akukamate...ameokoka?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeshikwajee...jeuri yako kwishaKashanikamata Mdogo wake Al-watan
Ila hata mm ni mwamba kidogo [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] umeshikwajee...jeuri yako kwisha
User name yako ya zamani ni nani?