Hawa wanaJF wafungue tu band yao

Hawa wanaJF wafungue tu band yao

Ninunulie tu baba salehe hakuna namna jitu sijui limevurugwa huko linakuja kuparamia watu hovyo hata mazoea nae sina
hata hivyo sihitaji mazoea na watu wa aina yako bibie kwanza hata kukuquote hapa nahis kichefuchefu

Kwanza hatuendani......utaniharibia mood zangu zangu bure kufikiria juu yako.
 
Back
Top Bottom