[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mara ya kwanza kupigwa ban nkajiuliza nan kanbadlishia avatar nkamwta swalehe !! Kma alkua anachezea simu hahaaa daaah nilijua kuna mjinga kahack kumbe nmechomwa( burned)
Mimi sinaga adui wa kudumu... tukikwaruzana sasa hivi baadae nakusalimu kawaida na kukuchangamkia kawaida.Ulivyo adui wangu ivyo kwanye ID zangu zngne labda omba nitumie hii hii
[emoji26] [emoji26] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41] [emoji87]Jukwaa la siasa tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] how dare you kuwa na list ndefu like your daughters in Ontario mwandikoYaan me nina list yangu ni ndefu sana
UmemisikaNipo mamy. Majukumu ya kazi [emoji119] yananibana tuu.
Ila kwa tukio muhimu kama la leo nisingeweza kukosa kuhudhuria[emoji16][emoji16][emoji16]
Money penny ni nani lakini?Nimekumiss kidogo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] how dare you kuwa na list ndefu like your daughters in Ontario mwandiko
Nimewamithhhhh piya dearUmemisika
Toka jana ndugu...mods wamefuta weeeee mpaka wakachoka,wameona na Leo nazidi tuuu wameufungilia mbaliKumbe ni tangu Jana. Dooohh siyo kwa kuumbuana huko
Haha.Mara ya kwanza kupigwa ban nkajiuliza nan kanbadlishia avatar nkamwta swalehe !! Kma alkua anachezea simu hahaaa daaah nilijua kuna mjinga kahack kumbe nmechomwa( burned)
Nikajua ni tusi kubwa mno mimiKwahiyo ukiona umefanyiwa hivyo ujue umefyonzwa
Kwakweli nakupendeaga hiko tu mimiMimi sinaga adui wa kudumu... tukikwaruzana sasa hivi baadae nakusalimu kawaida na kukuchangamkia kawaida.
hata mtaani nipo hivyo... kwa sisi wamasai malayoni ambao wana magovi marefu ndiyo huhifadhi vinyongo.
Wewe jichanganye siku unitukane nimerge accounts zako zote[emoji123]
Nakupa umodi mamaaa sasa hivii ngja nmalize kula maandanz yangu ya janaAise nikiwa mod nitampiga ban kuku mmoja anatembea tembea peku humu ndani haraka sana abaki na Tz ake
Yaan leo youngtz hataki mchezoOi niaje...
Naona unatema un'gen'ge lile lijimama ndiyo limekufundisha nini?
Unapotea sana mno jamanNimewamithhhhh piya dear
Achana nae huyo....asiharibu vibesAnajifanya anapanick panick hovyo yeye nanii nilimquote yeye pumbavu zake kabisa
Najua hiyo saana imeenda kwa lingabu.Nimekumiss kidogo
Ndyo maana sitaki urafiki na masaiMimi sinaga adui wa kudumu... tukikwaruzana sasa hivi baadae nakusalimu kawaida na kukuchangamkia kawaida.
hata mtaani nipo hivyo... kwa sisi wamasai malayoni ambao wana magovi marefu ndiyo huhifadhi vinyongo.
Wewe jichanganye siku unitukane nimerge accounts zako zote[emoji123]
Hapana ni tusi hilo dogoNikajua ni tusi kubwa mno mimi